mfanye hivi baba RIz kama unajipenda

Mkurabitambo

JF-Expert Member
Feb 3, 2010
230
57
article-2200754-14ED93AA000005DC-135_634x427.jpg
rais Obama akibebwa na muuza pizza
 
Mfanyie the same yule mchawi utaona matokeo yake.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
utaambiwa umetumwa na chadema kitakachofatia hapo kama si kuulimbokaliwa basi kumwangosiwa,mbona utataja majina yote ya ukoo wenu.
 
ukifanya hivo nchi zetu za africa,utosahau iko kipigo utakachopata unaweza kuja kushtuka uko kaburini
 
unajua kule marekani viongozi wana afya njema na hawaanguki hovyo ndo maana watu wanaweza kuwabeba kirahisi tuu
 
Obama ni mtu wa watu anapendwa na wengi hana makuu kama huyu wetu, maisha yake yako very simple hata ukiangalia familia yake hawana makuu. Njoo kwenye maraisi wa kwetu afrika na familia zao utajuta wanajiona wao wako juu ya sheria!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom