Mchanga wa chukuliwa Morogoro kwenda teketezwa Nje(Ulaya) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchanga wa chukuliwa Morogoro kwenda teketezwa Nje(Ulaya)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mkurabitambo, Sep 20, 2012.

 1. M

  Mkurabitambo JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2012
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  benki ya Dunia imedhamini mchakato wa kukwapua tani kibao za udogo unaodaiwa kuwa umeharibiwa na viwatilifu,hivyo haufai kwa matumizi ya binadamu. katika mchakato huo udogo huo ambao umejazwa kwenye mifuko maalumu utasafirishwa kwenda ulaya kwa ajili ya kuteketezw...
  hivi Tanzania hatuwezi kufanya lolote? tekinologia iko wapi? wako wapi wataalamu wetu wa mazingira? kwa kufikiri zaidi nauliza je lazima udongo juo ukateketezwe ulaya?  source ..CCM TV (TBC) Habari
   
 2. B

  Bahati Risiki JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 531
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Huo ni ulanga unaondoka hivyo. Usimwamshe aliyelala, kwani utalala wewe. Tangu lini mzungu akakuteketezea udongo? Kiwete, Pinda, you name them!
   
 3. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #3
  Sep 21, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Hiyo habari mbona ina mapungufu lukuki...
   
 4. majany

  majany JF-Expert Member

  #4
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 30, 2008
  Messages: 1,199
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  hatuna kazi nao...acha wauchukue....unasafirishwa udongo wa dhahabu seuze ulanga.....hii ndo TZ bwana...
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Sep 21, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  kama sio ulanga hapo watakuwa wanasafirisha ruby au sphare(spelling)

  shamba la bibi oyeeeeeee

  kidumu chama cha mapinduzi
   
 6. Jagarld

  Jagarld JF-Expert Member

  #6
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 1,536
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  Acha watusaidie, migodi yote hii mbona ulafi wao utawaua,miaka miwili ijayo tz kama Dubai mabomba ya maji na maziwa nchi nzima,foleni sikumbuki mara ya mwisho iliisha lini,shule si mnaziona! Kata moja shule mbili za sekondari si mchezo! Vyuo vikuu je,Udom si mnaiona?Kigamboni daraja mmelionaa! Likiisha kila mkazi atamiliki bhajaj si mtafurahii,basi endeleeni kunisifu kwa nyimbo na mapambio,kama walivosema wachungaji mi mteule wa Mungu si ndiyo jamani....!
   
 7. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #7
  Sep 21, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Wanazidi kusomba rasrimali zetu cc tumetoa macho tu!!!!
   
Loading...