waandishi wa TBC na polisi

Mkurabitambo

JF-Expert Member
Feb 3, 2010
230
57
palipotoke mauaji ya kamanda mwangosi,tume ya wahariri ilito mwongozo kwa vyombo vyote vya habari kususia habari za jeshi la polisi,lakini hawa TBC wapo bize kuwa uzisha sura polisi.
Je TBC,hamfuati miongozo ya wahariri wenzenu? Au na ninyi ndo walewale?
 
Haitarajiwi chombo cha Serikali kikigomee chombo kingine cha Serikali.
 
Mbona hata channel ten wenyewe wamewafagilia ma murra kiaina, hawa watanzania bwana.
 
Kwa hali inayoendelea tusubiri siku yahamie TBC muda si mrefu....Fundisho kwa channel 10 lakini hawajifunzi. haya yote yatapita lakini damu ya mwangosi itawatafuna hata katika familia zao hao TBC
 
Mbona hata channel ten wenyewe wamewafagilia ma murra kiaina, hawa watanzania bwana.

Usitukosee heshima bana, siku hizi wakurya hawako majeshini ndio maana unaona hawa makenge wengine wanaua watu hovyo tu..kipindi jeshi lilipokua chini yetu ujinga huu haukuepo!!
 
Hata Clouds wamewafagilia hapa na kuwaomba msaada et muda huu kuna Majambazi yamevamia pale Bank ya CBA Nyerere branch hivyo Polisi wakasaidie, si usaliti huu jaman!!
 
Ndivyo tulivyo Watanzania jamani, tunapenda sana kujikomba kwa wakubwa, hatutaki kuonekana na siye ni wakosefu, Channel 10 na Clouds ni walewale tu, wanalia sana katika msiba kumbe wanafki.
 
Mbona hata baadhi ya machief au watemi kwa karibu asilimia kubwa waliwafagilia wakoloni sishangai tbc ni agent wa serikali.kwa sababu hiyo wanaongopa wasije kuwatidoni.hivi kwenye tv zetu tunaulizana kadi za chama au?
 
palipotoke mauaji ya kamanda mwangosi,tume ya wahariri ilito mwongozo kwa vyombo vyote vya habari kususia habari za jeshi la polisi,lakini hawa TBC wapo bize kuwa uzisha sura polisi.
Je TBC,hamfuati miongozo ya wahariri wenzenu? Au na ninyi ndo walewale?

aaaaaaaa hao ni walewale.
 
Wakionesha polisi kwenye luninga we fumba macho.. ukipishana nae njiani fumba macho... kama njia yako inapita jirani na kituo cha polisi zunguka mtaa mwengine,,, fikiria huduma zooooote za mapolisi zigomee,,, ndio dawa yao
 
Back
Top Bottom