Search results

  1. A

    Waziri Sophia Simba amedanganya bunge kumlinda Salma Kikwete

    Nimesoma kwenye mtandao wa gazeti la serikali la Habari Leo kuwa Waziri Sophia Simba amesema kuwa Salma Kikwete hakuitumia WAMA kwenye kampeni za uchaguzi mkuu wa 2010. Nikatafuta Salma Kikwete+WAMA+Kampeni na nikakuta ushahidi kuwa Waziri huyu amedanganya bunge. Ushahidi mmojawapo ni huu:Mama...
  2. A

    Tumuenzi Hayata Wolfgang Dourado

    Tumeanzi vipi jaji Dourado aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar akiongoza Mahakama ya Kazi ya Zanzibar aliyefariki hivi karibuni? Dourado aliwahi pia kuwa Mwanasheria Mkuu wa kwanza wa Zanzibar mara baada ya mapinduzi ya mwaka 1964 na baadaye kuzaliwa kwa taifa jipya la Jamhuri ya...
  3. A

    Profesa Safari atakiwa Uzini Zanzibar

    Nimekaa na wanawake wa Uzini wamefurahi kumuona Dr Slaa akifanya mikutano nao mashambani. Hata hivyo wametaka Profesa Safari aje Zanzibar. Wanasema wamesikia sifa za Profesa huyu katika kuwasimamia haki za wanaharakati wa haki zao mahakamani. Wanataka awaeleze sababu za yeye kujiunga na...
  4. A

    CUF mambo magumu Bukoba

    CUF mambo magumu Bukoba na Ashura Jumapili, Bukoba CHAMA cha Wananchi (CUF) katika Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera kimeendelea kupoteza umarufu wake siku hadi siku kufuatia kuondokewa na mmoja wa viongozi wake waandamizi, Wilfred Lwakatare aliyehamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
  5. A

    Mhonga achangia kituo cha afya

    KITUO cha Afya cha Mwamgongo kilichopo Kigoma Vijijini, kaskazini mwa Ziwa Tanganyika kimepatiwa umeme wa nguvu ya kujua ili kunusuru mazingira hatarishi yaliyopo katika kituo hicho. Kituo hicho ambacho kina wodi ya kujifungulia kina mama wajawazito, maabara na jokofu la kuhifadhia dawa...
  6. A

    Freeman Mbowe aelezea CHADEMA ilipotoka, ilipo na inapokwenda

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe aelezea chama hicho kilipotoka, kilipo na kinapopaswa kwenda. Hotuba yake yake hii hapa-http://www.chadema.or.tz/hotuba/hotuba.php?id=10&pg=11 Asha
  7. A

    CHADEMA yaitaka UN kuibana serikali

    Na Edward Kinabo CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeuomba Umoja wa Mataifa (UN), kutoa tamko rasmi kuhusu matokeo ya Kikao cha Baraza la Usalama la Umoja huo, kilichojadili hivi karibuni taarifa ya timu ya wataalamu iliyoiunda kufuatilia utekelezaji wa maazimio yake kuhusu vita...
  8. A

    Kiongozi CHADEMA jela kwa kumuangalia hakimu vibaya

    na Moses Ng'wat, Mbozi UONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wilaya ya Mbozi, mkoani Mbeya, unakusudia kukata rufaa Mahakama Kuu kupinga hukumu ya miezi miwili jela iliyotolewa na mahakama ya wilaya dhidi ya kada wa chama hicho Wallece Kaminyoge, kwa madai kuwa alimuangalia...
  9. A

    Namtafuta 'Mbunge' Muslim Hassanal

    Baada ya Kafulila kuondoka chamani kwenda kwenye NCCR Mageuzi ambayo Mbunge wa Kigoma Kaskazini na Naibu Katibu Mkuu, Zitto Kabwe aliwahi kukitaja humu kwamba kilipewa fedha za EPA kuhujumu majimbo ambayo CHADEMA ilikuwa na nguvu mwaka 2005, nimejikuta nakumbukia uchaguzi wa mwaka 2005...
  10. A

    CHADEMA yakubali ushauri www.chadema.or.tz

    Wachangiaji mbalimbali walitoa ushauri kuwa CHADEMA ihame kutoka www.chadema.net iwe na domain name yenye jina la kitanzania. Naona wamekubali ushauri huo na sasa wanapatikana kwenye www.chadema.or.tz. Naona pia wametangaza rasmi kuwa kwa wale wenye simu za Zain na Voda wanaweza kuchangia ama...
  11. A

    BARUA MUHIMU: Kwa mpenzi Paranoid Young Man

    Kwa mpenzi Paranoid Young Man Fisadi Papa Rostam Aziz Salaam Dhumuni la waraka huu ni kutaka kujua hali yako baada ya shoo ya mchezo wa kuigiza uliyoifanya pale Kempinsiki. Kwa kweli nakupungeza kwa kuwa bingwa wa mipasho, unafaa kuwepo kwenye kikosi changu cha mipasho. Baada ya kutuliza...
  12. A

    TBC1 inapotumika vibaya: Nani alaumiwe?

    TBC wanaoendeshwa kwa kodi yako wewe na mimi. Hawa ndio waliotumiwa na Rostam Aziz kuihusisha kwa nguvu zote CHADEMA na Kifo cha Wangwe. Mnaweza kukumbuka mtiririko wa mambo waliyoyafanya. Hawa ndio waliokatisha hotuba ya Dr Slaa kuhusu ufisadi aliyotoa bungeni watanzania wasiione. Ndio hao...
  13. A

    Mbowe: Nchi imekwama, Kikwete ameelemewa

    Katika pita pita yangu nimekutana na mfululizo wa makala hizi ambazo Mbowe aliandika mwanzoni mwa mwaka 2007. Miaka miwili imepita toka wakati huo, je, maneno aliyoyatabiri wakati huo yametimia? Mfululizo wenyewe unapatikana hapa: Nchi imekwama; tayari Kikwete amelemewa Pia soma maelezo...
  14. A

    CHADEMA Iringa wamjia juu Pinda

    na Francis Godwin, Iringa ZIKIWA zimepita siku chache tangu Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kumuagiza Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Amina Said, kuifuta mahakamani kesi ya Diwani wa Kata ya Itunundu-Pawaga, Philipo Mkumbata, aliyekuwa akituhumiwa kuhujumu miundombinu, kwa madai kuwa...
  15. A

    Elections 2010 Mtei amwonya Kikwete

    Na Mussa Juma GAVANA wa kwanza wa Benki Kuu Tanzania(BoT) na aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika utawala wa Baba wa taifa, Mwalimu Julius Nyerere, Edwin Mtei amemtahadharisha Rais Jakaya Kikwete atakabiliwa na matatizo makubwa kama hatakuwa mkali na kuwachukulia hatua watendaji wake...
  16. A

    Halima Mdee achambua mswada wa sheria ya vyama vya siasa bungeni

    Halima Mdee, Msemaji wa kambi ya upinzani bungeni wizara ya sheria na katiba leo ameuchambua mswada wa mabadiliko ya sheria ya vyama vya siasa uliowasilishwa bungeni. Mbunge huyo ameeleza wazi kwamba serikali ya CCM haina nia ya kuongeza demokrasia nchini badala yake imeonyesha woga wa kiasiasa...
  17. A

    Spika Sitta, Pinda wametupotosha

    JANA Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akijibu swali bungeni lililotaka kujua ni lini viongozi wa kiserikali kama rais wataacha kutumia ziara za kiserikali kufanya shughuli za kichama, kama alivyofanya Rais Jakaya Kikwete hivi karibuni huko Pemba, alisema rais ni mkubwa wake wa kazi na yeye asingeweza...
  18. A

    Mikopo elimu ya Juu: Madaraja kuondolewa, Sayansi kupata mkopo asilimia 100

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu Tanzania (HESLB), itafanya mabadiliko makubwa ya utoaji wa mikopo kwa wanafunzi wanaojiunga na vyuo vikuu nchini kwa mwaka ujao wa fedha kama hatua mojawapo ya kupunguza matatizo yaliyokuwa yakiikumba bodi hiyo katika utendaji kazi wake. Uamuzi huo...
  19. A

    Warioba: Huu ndio ukweli kuhusu Mwananchi Gold

    Raia Mwema: Kuna maneno mengi mitaani kuhusiana na Mwananchi Gold. Umeyasikia? Warioba: Kwa muda wa miezi kama miwili hivi nimeona kwenye vyombo vya habari na kwenye mitandao uvumi mwingi kunihusu, na baadhi ya mambo yamesemwa, nadhani hata kwenye magazeti yenu, mmeandika. Raia Mwema...
  20. A

    CCM yashindwa vibaya

    CCM imeshindwa vibaya na CHADEMA katika uchaguzi wa udiwani wa kata ya machinjiano. Kwenye kata hiyo, CCM iliweka kambi kwa siku 30 na viongozi mbalimbali wa kitaifa wa chama hicho walikwenda kwenye kampeni kata kata hiyo kwa awamu mbalimbali. CCM Kigoma waibuka na Operesheni Ndoano...
Back
Top Bottom