CHADEMA yakubali ushauri www.chadema.or.tz

CHADEMA yakubali ushauri www.chadema.or.tz

Asha Abdala

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2007
Posts
1,130
Reaction score
46
Wachangiaji mbalimbali walitoa ushauri kuwa CHADEMA ihame kutoka www.chadema.net iwe na domain name yenye jina la kitanzania. Naona wamekubali ushauri huo na sasa wanapatikana kwenye www.chadema.or.tz. Naona pia wametangaza rasmi kuwa kwa wale wenye simu za Zain na Voda wanaweza kuchangia ama kujiunga kwa kutuma neno CHADEMA kwenda namba 15710. Hongereni

Asha
 
“ Huu ni mwanzo wa mwisho wa Chama Cha Mafisadi(CCM), hakuna dola idumuyo isipokuwa ya Mungu tu" hivi hawa www.chadema.net wanaweza kuwa mbadala?
Asha

CHADEMA wamebadirisha vipi wewe mbona hujabadili kwenye signature yako? au wewe mwendo mdundo, yaani Bongo tambarare khaaa!
 
Chama cha delegation na maendeleo!

tatizo lenu mmelala mno, CCM wanakuwa kama wakwe bwana, ebu wapeni kubwa, muwalaze macho kha!
 
Wachangiaji mbalimbali walitoa ushauri kuwa CHADEMA ihame kutoka www.chadema.net iwe na domain name yenye jina la kitanzania. Naona wamekubali ushauri huo na sasa wanapatikana kwenye www.chadema.or.tz. Naona pia wametangaza rasmi kuwa kwa wale wenye simu za Zain na Voda wanaweza kuchangia ama kujiunga kwa kutuma neno CHADEMA kwenda namba 15710. Hongereni

Asha
tunashukuru mheshimiwa kwa habari hii.nakutakia kikao chema hapo Dom.
 
Back
Top Bottom