Search results

  1. K

    INAUZWA Nauza Bajaji ya TVS King

    Habari zenu, nauza Bajaji ya kijani Aina ya TV's king, iko mikocheni na iko kwenye Hali nzuri Sana na inavibali vyote na inafanya kazi to a Uber na bolt. Bei ni milioni mbili na laki nne (2.4 million). Mawasiliano 0620704530. NB- Hii ni Bajaj yangu hivyo haina udalali.
  2. K

    Natafuta Dereva wa Bajaj wa mtandaoni

    Habari wakuu, Natafuta dereva wa bajaji (sio wa gari)mwaminifu, mchapa kazi na Hana visingizio mwenye leseni hai ambaye ana akaunti hai ya bolt na Uber, mwenye uzoefu angalau mwaka mmoja na mkazi wa Dar na anayepaki maeneo ya Sinza, Mwenge, Makumbusho, Moroco, Mikocheni, Oysterbay au Masaki...
  3. K

    Dereva wa Bajaji anahitajka

    Heshima zenu wakuu, natafuta dereva wa Bajaji ambaye amejiunga Uber na Bolt kwa ajili ya biashara ya Bajaji. Awe mkazi wa dar maeneo ya Tabata, Mwenge, Msasani, Mikocheni au Kawe au maeneo ya karibu. Dereva awe na leseni, kitambulisho Cha taifa, barua ya utambulisho na pia awe mchapakazi hasa...
  4. K

    Natafuta tairi used za Bajaj (Ganda la nje)

    Habari wakuu. Natafuta tairi mbili zilizotumika za Bajaj ambazo zipo kwenye Hali nzuri ili niweke kwenye Bajaj yangu.
  5. K

    Natafuta dereva bodaboda wawili

    Habari zenu wakuu, natafuta madereva wawili wa bodaboda, kwa siku alete buku 7, pia Awe mwaminifu na sio msumbufu wa kuleta hesabu na awe mwenyeji wa dar hasa mwenge, makumbusho na maeneo ya karibu na hayo pia Aje na barua ya utambulisho na kopi ya kitambulisho. Aliye tayari awasiliane na mimi...
  6. K

    Natafuta chumba na sebule ya kupanga choo ndani

    Habari zenu wakuu, natafuta chumba na sebule choo ndani maeneo ya kawe had msasani au maeneo ya karibu na hayo, bajeti yangu ni tsh 100,000/=namba yangu ni 0686591570. Natanguliza shukrani
  7. K

    Natafuta dereva mwaminifu wa bajaji Tabata Segerea

    Habari wakuu, nimenunua bajaji mpya kabisa aina ya tvs king na natafuta dereva mwaminifu wa bajaji anaekaa Tabata Segerea au maeneo ya karibu na Segerea. Kwa siku nataka elfu 25,000/= kwa siku 6 na siku moja hela anachukua huyo dereva bajaji. Mawasiliano 0686591570
  8. K

    Biashara ya bodaboda Tabata au Ubungo

    Za Muda wakuu, Msaada wakuu, Nimechanga changa hela sasa nataka ninunue bodaboda mbili na niwape vijana waniletee hela kwa siku au wiki, sasa naomba wakuu na hasa wenye biashara za bodaboda wanipe uzoefu wenu wa kumanage hii biashara ya bodaboda, mimi nipo tabata segerea. Pia kwa mtu mwaminifu...
  9. K

    Askari wa usalama barabaranii eneo la Mapinga ni jipu

    Habari wakuu, Jana jion saa 11 nilenda bagamoyo kwenye mualiko wa futari bahati mbaya nilivyofika mapinga nilisimamishwa na trafiki kwa kosa la kuendesha gari zaidi ya km 50 kwa saa, sikupinga huo uamuzi ila niliwaomba waniandikie notification ili nikailipe kesho maana sikuwa na hela cash kwa...
  10. K

    Housegirl anahitajika, mshahara elfu 40 kwa mwezi

    Habari wakuu, Kama kichwa cha habari kinavyoonyesha, natafuta msichana wa kazi mshahara ni elfu 40 kwa mwezi.nina familia ya watoto wawili mimi nipo Dar. Mawasiliano ni 0686591570...
  11. K

    Mwalimu wa sekondari anapatikana

    Habari wakuu, mimi ni mwalim wa sekondari wa masomo ya biashara yaani commerce, economics na book keeping napatikana kwa ajira ya muda (tempo) au ya kudumu. mimi nipo ubungo dar na nitafurahi kama shule husika itakuwa ndani ya mkoa wa dar. namba yangu ya simu ni 0686591570...
  12. K

    Msaada wa malazi wakati wa usaili dodoma(IRDP)

    Habar zenu wakuu na poleni kwa swaumu kwa waliofunga. mimi ni kijana miaka 24 naish dar, nimechaguliwa siku ya jumatatu kwenda kufanya usaili chuo cha mipango dodoma na huko dodoma sina ndugu wala rafiki wa kunihifadhi wakati huo wa kufanya usaili. kwa hiyo basi naomba mtu yeyote...
  13. K

    Natafuta ps2 iliyochipiwa kwa laki na 20

    za saizi wakuu na poleni kwa swaum, Natafuta ps2 complete yenye flash, iliyochipiwa na yenye padi mbili kwa tsh. 120,000 kwa kila ps2. mimi nipo dar, ubungo na zinatakiwa haraka. kwa aliyenayo tafadhari weka namba yako ya sim nikupigie au nipigie sim, nicheki watsapp au nitext kwa...
  14. K

    Msaada kwa walimu wa post graduate diploma of Education (PGDE)

    Habari zenu wakuu na heri ya sikukuu ya wafanyakaz Naomba niulize kwenye listi za walimu wapya waliopangiwa vituo vya kaz mwez uliopita, swali langu ni kuwa, mbona sijaona majina ya walimu wa post graduate diploma of education (pgde) ila nimeona majina ya walimu wa cheti, astashahada...
  15. K

    Ukweli kuhusu Reborn International

    Habari wakuu, Nilituma maombi ya kazi reborn international, sasa leo wamenijibu kwa email kuwa nimechaguliwa na natakiwa niende kwenye mafunzo yao tarehe 22 mwez huu. Sasa kilichonistua na kuja kuuliza hapa ni wao kuniambia niwatumie tsh 51000 kwa mpesa/tigo pesa au benki na vyeti...
  16. K

    Tablet PC mpya zinauzwa 350,000

    Happy valentine wakuu, Ninauza Tablet Pc mbili mpya kabisa na orijino. Moja ina screen inch 7 kwa tsh 350,000 na nyingine ina screen nchi 10 kwa tsh 400,000. Tablet zote zina android version 4.4.2 (kitkat), Quadcore processor (processor nne) na kila...
  17. K

    Nyumba vyumba vitatu inapangishwa Ubungo Kibangu

    Habari zenu wakuu. Napangisha nyumba ya vyumba vitatu kimoja master ubungo kibangu njia ya kwenda kwa mzee wa upako, pia ina tiles nyumba nzima na uzio. Umeme na maji yapo ya uhakika. Nyumba ipo dakika 10 toka ubungo riverside kama unatembea kwa miguu na dakika 3-5 kwa gari au bodaboda. Nyumba...
  18. K

    Nyumba ya vyumba Vitatu Inapangishwa.

    Habari zenu wakuu, nina nyumba naipangisha laki mbili na nusu kwa mwez kwa miezi sitasita. Nyumba ina tiles, choo cha master na public, vyumba vitatu, sebule, dining, jiko na stoo. Pia imezungushiwa ukuta na ina geti. kwa maelezo zaid au kuiona nyumba ni pm au piga simu namba 0686591570...
  19. K

    Anayeuza PS2 iliyochipiwa kwa lakimoja

    Heshima zenu wakuu, mi nipo dar, nina laki moja na ninahitaji kununua ps2 iliyokamilika (complete) ambayo imechipiwa/ uwezo wa kutumia flash disk. Bajeti yangu ni Tsh 100,000. kwa aliyenayo ani PM au aweke mawasiliano yake na nitamtafuta kama yupo dar.
  20. K

    Fundi jenereta anahitajika

    Heshima zenu wakuu. mimi nipo dar maeneo ya ubungo na nina jenereta langu aina ya tiger saiz ya kati imegoma kabisa kuwaka na tangu niinunue ina miez minne tu. kwa iyo naomba mnielekeze sehem yenye fundi genereta wa uhakika kwa dar na hata kama kuna fundi wa uhakika sehem, basi naombeni namba...
Back
Top Bottom