Natafuta dereva bodaboda wawili

kayimukaa

JF-Expert Member
Jan 8, 2014
483
636
Habari zenu wakuu, natafuta madereva wawili wa bodaboda, kwa siku alete buku 7, pia Awe mwaminifu na sio msumbufu wa kuleta hesabu na awe mwenyeji wa dar hasa mwenge, makumbusho na maeneo ya karibu na hayo pia Aje na barua ya utambulisho na kopi ya kitambulisho. Aliye tayari awasiliane na mimi kwa namba 0620704530.
 
mi mwenyeji wa mbagala ukikosa wa maeneo hayo niambie tuingie mkataba mkuu
 
GES ltd for cheapest and affordable clearing and forwarding your cargo DAR ES SALAAM 0717267636
 
Habari zenu wakuu, natafuta madereva wawili wa bodaboda, kwa siku alete buku 7, pia Awe mwaminifu na sio msumbufu wa kuleta hesabu na awe mwenyeji wa dar hasa mwenge, makumbusho na maeneo ya karibu na hayo pia Aje na barua ya utambulisho na kopi ya kitambulisho. Aliye tayari awasiliane na mimi kwa namba 0620704530.
Km bado hujapata nchek 0684264362
 
Back
Top Bottom