Habari zenu wakuu. Napangisha nyumba ya vyumba vitatu kimoja master ubungo kibangu njia ya kwenda kwa mzee wa upako, pia ina tiles nyumba nzima na uzio. Umeme na maji yapo ya uhakika. Nyumba ipo dakika 10 toka ubungo riverside kama unatembea kwa miguu na dakika 3-5 kwa gari au bodaboda.
Nyumba haina mgogoro wala maluweluwe yoyote. Bei ya kupanga ni tsh laki mbili na nusu tu (250,000) kwa mwez kwa miezi sita sita. kwa mawasiliano zaidi na ukitaka kuja kuikagua, tadadhal piga simu namba "0686591570" kwa anaehitaji picha naomba mnitext au mnipigie niwatumie picha kwa watsapp. wote mnakaribishwa, bei haipungui hata kidogo na dalali hatakiwi. Natanguliza shukrani