Mwalimu wa sekondari anapatikana

Mwalimu wa sekondari anapatikana

kayimukaa

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
494
Reaction score
672
Habari wakuu,
mimi ni mwalim wa sekondari wa masomo ya biashara yaani commerce, economics na book keeping napatikana kwa ajira ya muda (tempo) au ya kudumu.
mimi nipo ubungo dar na nitafurahi kama shule husika itakuwa ndani ya mkoa wa dar. namba yangu ya simu ni 0686591570.
Natanguliza shukrani wakuu...
 
nimemaliza chuo wiki iliyopita na government ni hadi mwakani mwezi wa 3. sasa nataka wakati nasubiri govt nipige tempo au part time

Unajifariji kweli,mwezi wa tatu ajira?? mwaka huu wameajiri lini?
 
Back
Top Bottom