Biashara ya bodaboda Tabata au Ubungo

kayimukaa

JF-Expert Member
Jan 8, 2014
484
646
Za Muda wakuu,

Msaada wakuu,

Nimechanga changa hela sasa nataka ninunue bodaboda mbili na niwape vijana waniletee hela kwa siku au wiki, sasa naomba wakuu na hasa wenye biashara za bodaboda wanipe uzoefu wenu wa kumanage hii biashara ya bodaboda, mimi nipo tabata segerea. Pia kwa mtu mwaminifu na mchapakazi anaekaa karibu (Tabata/Ubungo) anayehitaji kuwa dereva boda anijulishe.

Natanguliza shukrani wakuu
 
Nakushauri uendeshe mwenyewe au hiyo hela weka benki then toa ile unayotarajia bodaboda akuletee kila siku fanyia shughuli zako au amishia benki nyingine kwa kuongezea kidogo anbayo najus hsitozidi 4000 kwa siku, kinyume na hapo hakuna faida, ni usumbufu tu.
 
Back
Top Bottom