Search results

  1. N

    Mafisadi na Ofisi ya Rais, Stop Destroying Our Country!

    Sio jambo la kwanza kuandikwa au kutafsiliwa na wananchi wengi leo. Tangu siasa ya vyama vingi ni kweli tumeweza kubadilisha nchi yetu kwa kuongeza accountability. Pia ni kweli hata wapinzania wa maendeleo Tanzania CCM hata wao wameweza kupigania haki zao za kuharibu hii demokrasia na...
  2. N

    "Asante Regia"

    Ni uchungu mkubwa lakini Tutakumbuka kwa Upendo na Mengi Ulioyafanyia Taifani Mwetu! Tuna mengi ya kusema ila' God lead you to this point' Asante Sana kwa Utumishi Wako na Kufundisha Ni nini Maana ya Uongozi. Sisi Kama Chadema na Nchi nzima Tumeshukuru kufanyakazi na Kupigania Haki ya Taifa...
  3. N

    Binti awapasha Kikwete na CCM: Mmeua Elimu!

    Girl: Why I had to ditch physics at secondary school Eighteen-year-old Lilian Igusa was preparing to sit for her O’ Level Certificate in Secondary Education examinations (CSEE) at Kasengerema Secondary School when I arrived in Kigoma.Like most students at the school, she was regretting that...
  4. N

    Analysis: Kikwete kafanikiwa Kupata Forum US (CCM Intellectuals)!

    Tumeona matawi ya ccm yanaongezeka foreign land. Kifupi ni kwamba balozi wa Tanzania Marekani kafanikiwa tena kuwaleta na kuwakusanyisha Watanzania DC. Hivi tuna jadili haya baadhi ya Watanzania wameonekana kumpigia kikwete makofi na kumpa heshima kubwa hapo kwenye land yao. Kitu cha kujiuuliza...
  5. N

    Was Never Prosperity and Will Never Be Prosperity Under CCM!

    Ukisoma hii article utaona jinsi gani miaka 50 ya sera za utumwa zinafikia mwisho na kikubwa ni kwamba ccm is trying to bring down as many people as they can. Just enjoy the reading ... incredible insight! UPDATE 2-Tanzania inflation jumps in August, more rises seen * Analysts see...
  6. N

    Financial Report: Serikali ya Tanzania Lost Value and Respect Abroad ... Kikwete Shame on You!

    Taifa la Tanzania la Dhalilishwa na Global Investors Ukisoma news za humu Tanzania utafikiri nchi ime-make efforts kubwa sana kukabiliana na hili swala la uchumi. Ukiangalia maisha ya wananchi Tanzania kote ni umaskini kila mahali lakini statistics za gov. zinaonyesha kikwete kaongeza ajira...
  7. N

    Analysis: End of Gadaffi, Reasons for Fear Kikwete, Mugabe, Museveni...

    The Fall of Tyrant Ukiamka leo asubuhi utaona jinsi dunia ina-brace for changes in Libya. Hii ndio news duniani kote 'Gadaffi na watoto wake wameangushwa libya' tunajua hii process imekuwa ndefu lakini finally this is the end of Gadaffi. Sometime naona kama ni ndoto kwani vijana duniani hasa...
  8. N

    Analysis: Serikali ya Tanzania ni 'Serikali Hewa'

    Kuongozwa kwa Kunyimwa Haki ya Kujua Uendeshaji na Maamuzi Yanayohusu Serikali Yako Tukizungumzia serikali ya Tanzania ni kama sectors za matumizi na hakuna issues zozote relevant katika maisha ya kila siku ya Mtanzania. Kama wengi wanavyochangia kuhusu wizara ya utalii na mali asili (wizi wa...
  9. N

    Wakati umefika kuwaita ccm 'Tanzania Trashes'

    Kila siku kinakuja kitu kipya. Mwaka huu peke yake tumeanzia na uchaguzi wa wizi then Dowans. Haya tumekuja na wizi wa bungeni posho lakini wenzetu ccm wanaita mishahara na marupurupu. Ukaja umeme wa kikwete na mafuta yake. Sasa tena tumepata zawadi ya UDA. Hapa sijazugumzia EPA, Richmond...
  10. N

    Kikwete anatarajiwa kuwa Mgeni DICOTA 2011, Washington DC

    Tumesikia Kikwete anakwenda Marekani tena kusheherekea uhuru wa miaka 50 ya Tanzania mwishoni mwa mwezi huu. Hivi huyu mwanaccm hafahamu au hasomi nchi za marekani na donors wanazungumzia debt na deficit? Muda gani bado natafakari Kikwete alikaa kweli darasani au vitu gani wametumia kupata...
  11. N

    Tanzania Diasporas Oversea, Seems ccm politics, Deals as Usual Nothing for the Country

    Now days we hear a lot about diasporas oversea but the problem we have so far is the heavy involvements of ccm government in these events oversea. I don't think most of us think ccm is good for our country neither their policies but we see the trends that these diasporas get too cozy with...
  12. N

    Nigeria Inaonyesha Symptoms za Rwanda Genocide?

    Bomb rocks troubled northeastern Nigerian city MAIDUGURI, Nigeria (Reuters) - Several people were wounded in a bomb blast in Maiduguri on Saturday, a city in remote northeastern Nigeria which has been plagued by almost daily attacks from a radical Islamist sect. "Three soldiers have been...
  13. N

    Raisi Malawi On the Way Out; Kikwete is also On Way out!

    Malawi president calls for calm, 18 dead in protests BLANTYRE (Reuters) - At least 18 people have been killed in clashes between police and demonstrators during violent nationwide protests against President Bingu wa Mutharika, the Malawian health ministry said on Thursday. Spokesman Henry...
  14. N

    Kuna Tetesi kwamba Sitta Amepewa 'Waziri Mkuu' Tafadhari Tafadhari!

    Kuna network mtaani za kuaminika kuhusu uhusiano wa kikwete na Sitta. Sitta amekubali kumtetea kikwete kwa kupewa hongo na rushwa ya kimaajabu. Ufupi ni kwamba hizi ni taarifa bado za ndani ya ofisi ya raisi na kikosi cha wahuni ccm. The truth is kikwete had failed all leadership tests long...
  15. N

    Wananchi Call for PCCB Ifanyekazi Lakini Wahuni Wanapewa Forgiveness Path

    Hivi wananchi waliomwomba kikwete awapeleke mafisadi ku-face justice au kujiuzuru? Kuna kitu kikwete ana-miss hapa na hizi tactics za danganya toto ndio zinafanikiwa only kwa wajinga. The major problem Tanzania sasa hivi sio tu mapacha ni chama kizima kimejaa waaasi wa wananchi na taifa lao...
  16. N

    Unaweza kubuni tatizo gani lipo hapa?

    Ukimaliza kusoma hii article utazidi kujua jinsi gani wasomi wa Afrika kweli ni mitihani tupu, Africa yangu hii S.Africa urged to put squeeze on Swazi king Thu Jul 7, 2011 3:30pm GMT JOHANNESBURG (Reuters) - Leading dissidents from Swaziland urged South Africa on Thursday not to bail out...
  17. N

    What if Nigeria Overtake South Africa Economy?

    Nigeria’s Economy Could Overtake South Africa by 2025, Morgan Stanley Says Nigeria’s economy may overtake South Africa’s by 2025 to become the biggest on the continent as oil prices climb and consumer spending in Africa’s most populous nation expands, Morgan Stanley said. Gross domestic...
  18. N

    Mwinyi, Aliyelipua Wananchi Mbagala na Gongo la Mboto ni Nani?

    Siku zinapita na tunaona kazi za kikwete na huyu mtoto wa fisadi mwinyi bado wanashikilia nyadhifa za serikali bila ku-take any kind of rensibility au accountability kwake na bosi wake. Kinachoshindikana na kuwataarifu Watanzania ni kitu gani? Kinachoonekana hapa ni wazi mwinyi ame-screw up...
  19. N

    Unamwelewa Kikwete Akizungumza Lolote. If You Missed Kikwete speechless, don't worry

    Tunajua mpaka sasa kwanini aligombea kuwa raisi wa ccm. Anapenda kusafiri na kupanda pia nje ya nchi ili aonekane very intelligent in paper but ukimuuliza what happened Tanzania haina umeme au maskini, atamkuta anakaa kimyaa kabisa. Is this guy normal au ... "let the world help Africans not...
  20. N

    Kikwete Hakutakiwa kuwa Raisi na Mgombea 2010. "Ufisadi na Rushwa ni Sifa?"

    Wananchi imefika wakati kuzungumzia uongozi wa kitaifa, utamaduni wetu, Katiba yetu na hasa udanganyifu wa demokrasia ya Tanzania. Hatuwesi kila wakati kuacha kuzungumzia hali mbaya ya Taifa letu na hasa uchumi wetu. Wakati huu tutamzungumzia kikwete kwa sababu ndiye aliedanganya his way to...
Back
Top Bottom