Mwinyi, Aliyelipua Wananchi Mbagala na Gongo la Mboto ni Nani?

niweze

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
1,008
116
Siku zinapita na tunaona kazi za kikwete na huyu mtoto wa fisadi mwinyi bado wanashikilia nyadhifa za serikali bila ku-take any kind of rensibility au accountability kwake na bosi wake. Kinachoshindikana na kuwataarifu Watanzania ni kitu gani? Kinachoonekana hapa ni wazi mwinyi ame-screw up ulinzi na usalama wa nchi lakini cha kushangaza huyu fisadi bado anakaa ofisini eti kwasababu ni mahusiano na ushikaji wa yeye kwa kikwete. Kitu kuwajibika imeiishia wapi au wizara yako inapofanya makosa makubwa kama haya ya kupoteza maisha ya wananchi na mali zao kwa kiasi kikubwa kama hivi nini kinakuweka ofisi ya serikali?
Gongo-la-Mboto-explosions-1.jpg

Wananchi,
Je kinachozuia mauiaji similar to Gongo la Mboto na Mbagala ni nini?

Kwanini kikwete na mwinyi hawa taarifu wananchi hatua gani zimechukuliwa kuzuia maafa ya mabomu kama Gongo la Mboto na Mbagala?

Hivi kikwete aliajiliwa au kujiweka madarakani kwa manufaa ya nani? Au anaripoti kwa mwinyi na mafisadi wenzake?

Hizi ripoti zinazoandikwa na kukaliwa na ofisi ya kikwete zinamanufaa ya nani?

Kwanini Tanzania haina freedom of information act mpaka leo au kwanini journalists na media Tanzania wanalazimishwa kufanya kazi bila docs za wananchi?

Kama Tanzania tungekuwa na nuclear facility, mwinyi angejiuzuru? au ushikaji, network na ufisadi unge win kama hivi sasa? The movement will continue and more is coming ...

UN Reports Thousands of Thyroid Cancers 25 Years After Chernobyl Nuclear Disaster | Europe | English

Report: Massey’s Outlaw Corporate Culture Caused Coal Mining Disaster » Rainforest Action Network Blog
 
Huyu ndio kijana ambae JK anasema apewe urais baada ya yeye kustaafu!!!kazi ipo nina wasiwasi sana na yatakayotokea baada kupitishwa huyo Hussein sababu ya uzanzibar wake(sio uwezo) na mama wa UN sababu ya umwanamke wake!!!ila nyuma yake harufu ya udini!!naogopa sana hatma ya muungano na CCMagamba!!
 
Huyu ndie anayepigiwa debe na mheshimiwa mkuu wa kaya aje kuwa prezidaa wetu! Dogo mbayuwayu huyu, hana msimamo bt kwa siasa za sisiem huyu anafanya vizuri!
 
Leta ushahidi wa hilo, ukishindwa, futa kauli yako, wacha unafik.
 
Huyu ndie anayepigiwa debe na mheshimiwa mkuu wa kaya aje kuwa prezidaa wetu! Dogo mbayuwayu huyu, hana msimamo bt kwa siasa za sisiem huyu anafanya vizuri!

Usituaminishe uongo wako, leta ushahidi wa hili.
 
Back
Top Bottom