Kuna Tetesi kwamba Sitta Amepewa 'Waziri Mkuu' Tafadhari Tafadhari!

niweze

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
1,008
116
Kuna network mtaani za kuaminika kuhusu uhusiano wa kikwete na Sitta. Sitta amekubali kumtetea kikwete kwa kupewa hongo na rushwa ya kimaajabu. Ufupi ni kwamba hizi ni taarifa bado za ndani ya ofisi ya raisi na kikosi cha wahuni ccm.

The truth is kikwete had failed all leadership tests long time ago and government of ccm is collapsing in our face. Drip drip drip drip!
Hata kama kikwete ukibadilisha mawaziri wote, uozo bado upo na tatizo ni kikwete wewe mwenyewe.

Habari kubwa zinakuja siku chache from now na stay tune to JF.
 
Hii habari mbona imekaa kiumbeya zaidi? Mbona heading na body ya habari haviendani? Eleza kitu kinachoeleweka Bwana!!!!!

Tiba
 
Wewe tatizo lako ni nini kama Sitta akipewa uwaziri mkuu? Acha kuwa pessimistic hivyo bwana, kila mtanzania anayo haki ya kushika nafasi yoyote ya uongozi. Awe ni sita au hata mtu mwingine yeyote ukiwemo wewe ilimradi tu umeonyesha uwezo wa kushika nafasi hiyo. Kwanini wewe unaona nafasi hiyo ni kama rushwa kwa Sitta? Guys, kama JK ameamua kuutupa mtandao wa akina Lowassa na kuuchukua ule wa Sitta, then its no wonder kwa Sitta kuwa waziri mkuu.
 
Palachichi jingine hilo na kama wewe umefikia hatua ya kuwabeba haya majambazi kwa kubadilisha mashati endelea kwa sababu wamekupa hayo unayotaka. Huoni ignorance unazoongea hapo sio. Kitu gani kikwete kakifanya ukifikiri skumweka sitta ni solution ya nchi? Sitta huyo alionekana kukerwa wazi na kunyang'anywa uspika na leo amekuwa jambazi lenyewe. Mara ccj mara aonekane anataka changes kwembe mnataka power za kuwaua watanzania.

We watanzania will win despite mitandao yenu ya kijinga.
 
Huyu mbona atakuwa anatapatapa,sita mwingine au yule wa ccj laaa!!hamna kitu magamba.
 
Kuna network mtaani za kuaminika kuhusu uhusiano wa kikwete na Sitta. Sitta amekubali kumtetea kikwete kwa kupewa hongo na rushwa ya kimaajabu. Ufupi ni kwamba hizi ni taarifa bado za ndani ya ofisi ya raisi na kikosi cha wahuni ccm.

The truth is kikwete had failed all leadership tests long time ago and government of ccm is collapsing in our face. Drip drip drip drip!
Hata kama kikwete ukibadilisha mawaziri wote, uozo bado upo na tatizo ni kikwete wewe mwenyewe.

Habari kubwa zinakuja siku chache from now na stay tune to JF.

Nawashangaa sana! wakati mnaona madudu ambayo yalijificha awamu zote, yanajitokeza katika awamu hii mnaona kuwa ni uongozi mbaya!

I wonder why do you always think in reverse?

Ni dhahiri kwamba uongozi mzuri na usiopenda ufisadi ndio unafichua madudu mpaka mnayaona yakifichuka leo hii.
 
"small voice" kwa hiyo mkuu jk atalivunja baraza la mawaziri na kama bill ngereja asipojiuzulu itakuwa sasa maana jairo anamsikilizia DPP kutoa tamko.. ngoja tuone hizo more to come stay tune.....
 
Ndio maana akaongea vile Bungeni?

Hivi hakuna Mbunge wa upinzani anaweza kusimama akasema Wabunge wa ccm mambo ya ni ya kinafki nafki tu, wanaunga mkono hoja ambazo zinalinda maslahi ya chama na watabaki kuwa hivyo, Wanaanchi ndio wataamua 2015.
 
Nawashangaa sana! wakati mnaona madudu ambayo yalijificha awamu zote, yanajitokeza katika awamu hji mnaona kuwa ni uongozi mbaya!

I wonder why do you always think in reverse?

Ni dhahiri kwamba uongozi mzuri na usiopenda ufisadi ndio unafichua madudu mpaka mnayaona yakifichuka leo hii.

Hayo ni matokeo mazuri Ya Elimu ya Uraia inayotolewa na CDM
Big Up Chadema
 
Tuanze na heading: amepewa cheo cha U- WM? au amepewa mtu anayeitwa WM? Au nini?, kwa hiyo CCM imeamua kufunga ndoa rasm na CCj? Au ccj ilikuwa ni branch ya ccm? Au ilikuwa imeanzishwa na ccm ili wahuni wa ccm wapate mahali pa kukimbilia baada ya cdm kushika hatamu? BTW, post yako ni crap of the year.
 
Kuna network mtaani za kuaminika kuhusu uhusiano wa kikwete na Sitta. Sitta amekubali kumtetea kikwete kwa kupewa hongo na rushwa ya kimaajabu. Ufupi ni kwamba hizi ni taarifa bado za ndani ya ofisi ya raisi na kikosi cha wahuni ccm.

The truth is kikwete had failed all leadership tests long time ago and government of ccm is collapsing in our face. Drip drip drip drip!
Hata kama kikwete ukibadilisha mawaziri wote, uozo bado upo na tatizo ni kikwete wewe mwenyewe.

Habari kubwa zinakuja siku chache from now na stay tune to JF.

Sijaelewa mkuu. "Sitta amepewa waziri mkuu?" au ulikusudia "Uwaziri Mkuu?" BTW imekaa kitetesi zaidi
 
there is a big concern in this topic

something is smelling fish in this government
 
Nawashangaa sana! wakati mnaona madudu ambayo yalijificha awamu zote, yanajitokeza katika awamu hji mnaona kuwa ni uongozi mbaya!

I wonder why do you always think in reverse?

Ni dhahiri kwamba uongozi mzuri na usiopenda ufisadi ndio unafichua madudu mpaka mnayaona yakifichuka leo hii.

Hata mimi nawashangaa sana CCM hawaoni madudu yanayoibuliwa na Chadema? kwa nini wasikubali mawazo positive ya Chadema?
 
Back
Top Bottom