Wakati umefika kuwaita ccm 'Tanzania Trashes' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakati umefika kuwaita ccm 'Tanzania Trashes'

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by niweze, Aug 12, 2011.

 1. n

  niweze JF-Expert Member

  #1
  Aug 12, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kila siku kinakuja kitu kipya. Mwaka huu peke yake tumeanzia na uchaguzi wa wizi then Dowans. Haya tumekuja na wizi wa bungeni posho lakini wenzetu ccm wanaita mishahara na marupurupu. Ukaja umeme wa kikwete na mafuta yake. Sasa tena tumepata zawadi ya UDA. Hapa sijazugumzia EPA, Richmond, Mbagala na Gongo la mboto bombs. What next mwaka huu? au ndio takataka wanaondoka serikalini. Kuwaita ccm trashes it's justifiable kabisa, wanaumiza wananchi na kumaliza population
   
Loading...