Kikwete Hakutakiwa kuwa Raisi na Mgombea 2010. "Ufisadi na Rushwa ni Sifa?" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete Hakutakiwa kuwa Raisi na Mgombea 2010. "Ufisadi na Rushwa ni Sifa?"

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by niweze, May 23, 2011.

 1. n

  niweze JF-Expert Member

  #1
  May 23, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Wananchi imefika wakati kuzungumzia uongozi wa kitaifa, utamaduni wetu, Katiba yetu na hasa udanganyifu wa demokrasia ya Tanzania. Hatuwesi kila wakati kuacha kuzungumzia hali mbaya ya Taifa letu na hasa uchumi wetu. Wakati huu tutamzungumzia kikwete kwa sababu ndiye aliedanganya his way to ikulu na mambo machache aliyoyafanya tangu ajihusishe na uongozi wa Taifa na hasa appointments ktka serikali hii ya ccm. Tuanze na sifa kubwa ya kikwete kwa hawamu ya kwanza ni EPA, wizi wa account ya External Payment Arrears (EPA). Kikwete kama kiongozi wa Taifa aliwajibika moja kwa moja na huu wizi na kama wananchi tunavyojua katiba ya ccm sasa imempa mamlaka raisi kama mfalme wa Tanzania. Kikwete ktk hili swala tumemwona mficha siri na mtu asiependa watanzania wengine na alificha kila steps zilizotokea na kuwafanya watanzania kama ni watoto wake huku akihakikisha hakuna ripoti yeyote ile itatolewa kwa wananchi. Hapa tunazungumzia Tsh 133 bilioni sio Tsh 133, hizi ndizo status za mgombea wa ccm. Wananchi tujaze wenyewe huyuni kiongozi au joke? Alitakiwa kuwa mgombea 2010?
  EPA Scandal: Recover the Loot, just don’t Prosecute? « Tanzanian Common Cents

  Tuzungumzie rushwa ya Richmond na uhusiano wa kikwete akiwa raisi. Wananchi tuligundua wazi kwamba hili swala Lowassa alijiwabisha kwa ajili ya kikwete kutaka aonekane kama kiongozi na ilionekana wazi kikwete alipata pressure kutoka kwa donors na sio wananchi. Watanzania tunajua wazi kama alivyojulikana magamba yalivyojichanganya Dodoma hivi karibuni, wakataka kuvuana magamba lakini magamba yamewan'gang'ania migongoni. Kikwete anashindwa kunyoosha kidole kwasababu vidole vingi vinamuangalia upande wake. Kubwa zaidi ni huu mtandao ulioundwa kwa makusudi ya kujinufaisha fedha za wananchi 'Dowans' ilikuwa painful kusikia wizi huu lakini kama tulivyosikia kwa kikwete 'hata miimi sijui kinachoendelea' wakati serikali yake ilijiandaa kujilipa pesa za Dowans. Good news here wananchi na pongezi kubwa kwa Chadema, tumesimamisha wizi. Ukweli ni kwamba swala hili halijaisha na bado tunalifuatilia kwa undani zaidi. Sasa tujaze hili swali, kikwete alitakiwa kuwa mgombea 2010 au hata kudhubutu kuiba?
  allAfrica.com: Tanzania: Govt to Pay Dowans Sh91 Billion
  US firm acquires Dowans turbines

  Tuzungumzie huu utajiri wa mtoto wa huyo huyo raisi, anafanya kazi gani na hizi fedha alizipata wapi kama sio account ya baba yake anatumiwa kuingiza pesa? Tunakuaje na kiongozi ambaye anafamilia yenye kuihusishwa na wizi za mali za wananchi? Huyo mtoto wa fisadi anaita waandishi wa habari na kujitetea kwa maneno ya kejeli 'siunajua mission mjini, magari si ya kwangu na nitawapeleka kotini wote' ilipofika hii siku hapatikani wala haendi kotini kama kawaida ya ccm. Vitu vikubwa vinavyoendelea Tanzania leo na makini sana kujihusisha ni ufichaji wa siri kana kwamba wananchi hawana haki ya kujua maamuzi kabla hayajafanywa, viwanda na tenda za serikali mali ya wananchi kumilikiwa na kuuzwa bila ufahamu wa wananchi bali wanaotakiwa kujua ni familia za ccm na ikulu. Kufichwa kwa ukweli wa mapigano ya katiba kama kwamba ni siri Watanzania hawaitambui katiba ya ccm, uchakachuaji ni damu ya ccm kila kona. Njama za kuwashambulia watanzania wote wanaojitoa kusema ukweli kwamba hawapendi amani wakati ccm na familia zao pekee ndio wana enjoy amani ya Tanzania, umeme, pesa na maisha bora kupitia migongo ya watanzania. Hili jingine Maknda na Kikwete wanashirikiana vipi kumaliza wananchi na wapinzania? Subiri bunge lijalo tutaona makubwa zaidi ....

  "utamaduni wetu umeunganishwa moja kwa moja na umaskini wetu wakati hii si sahii. Utamaduni wetu ni makabila, vijiji na hasa wananchi wengi kusoma kwa bidiii ili kujikwamua na hali za maisha yao"


  "Chadema na Wananchi tumetambua siri ya mapambano yetu na Hatutasubiri 2015
   
 2. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #2
  May 23, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 28,061
  Likes Received: 8,547
  Trophy Points: 280
  EPA,imetokea lini,na hiyo rushwa ya richmond ndo ipi hiyo,eeh wizi wa dowans UPI?utajiri wa riz.SI UUTAJE?..Aaaah unanipotezea mda tu wewe weka evidence ebo..am out of here
   
 3. W

  WISE GUY Member

  #3
  May 23, 2011
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We mtanzania toleo gani kipi kipya kwako hapo unaochohitaji evidence wakati kila kitu kipo wazi hata wenyewe wakati wanajivua gamba walificha na kusema hata kama hawana ushahidi wale wote wanaotuhumiwa na ufisadi wataondolewa bila hata ya ushahidi wakati kila kitu kipo wazi nina wasi wasi na wewe kama sio Gamba ni mtoto wa ngamba au unahisa na MAGAMBA
   
 4. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #4
  May 23, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,636
  Likes Received: 906
  Trophy Points: 280
  Kikwete sio mzalendo

  kikwete haipendi tanzania na hawapendi watanzania

  ni msanii na mtapeli

  mwaka 2005 aliwahadaa watanzania maisha bora - badala yake richmond na iptl zikaja

  bei za vitu zikapanda mara dufu na maisha ya watanzania yakazidi kuwa magumu


  sasa angalia nchi inayumba, haitawaliki

  ni bora angeondoka kwa heshima, ili watanzania wapate mtu mwingine.

  Tanzania hii mambo ni arijojo, shilingi imezidi kudorora, umeme hakuna na maisha ni magumu kwa watanzania.
   
 5. n

  niweze JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kiongozi gani anapeleka askari kuwaua wananchi? Kiongozi gani anajilinda kwa kukutumia vyombo vya wananchi? Kiongozi gani anaficha ukweli Mbagala, Gongo la Mboto, Arusha? Tumweleze vyote anavyovifanya na hakuna kuogopa ukweli siku zote unasimama popote pale duniani.
   
 6. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #6
  May 24, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,227
  Likes Received: 1,414
  Trophy Points: 280
  are you still wise?!, well; am not sure. Toa evidence, mfn, Liz ana acccount zipi na zinz sh. Ngapi?. DWns alitakiwa kuipwa kwa amri ya court- kama unahoja peleka mahakamani na ushinde kesi kisha asilipwe. Acha mijadala ya kijiweni.
   
Loading...