Financial Report: Serikali ya Tanzania Lost Value and Respect Abroad ... Kikwete Shame on You!

niweze

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
1,008
116
Taifa la Tanzania la Dhalilishwa na Global Investors

Ukisoma news za humu Tanzania utafikiri nchi ime-make efforts kubwa sana kukabiliana na hili swala la uchumi. Ukiangalia maisha ya wananchi Tanzania kote ni umaskini kila mahali lakini statistics za gov. zinaonyesha kikwete kaongeza ajira na kuondoa umaskini hata kama bei zikiwa juu na inflation karibu 18%. Kinachoshangaza zaidi ni kazi mbovu ya Ndulu bank kuu na hii wizara ya fedha. Tunachoshuhudia miaka baada ya miaka bank kuu na wizara ya fedha ni ufichaji wa siri kwa kikwete na serikali yake, are these people in treasure na bank kuu ni wananchi wa namna gani?

Mara nyingi sana wengi tumekuwa tunafuatilia comments za ndulu na kikwete kuhusu uchumi wa nchi and still we can't figure out what's going on in their heads. Hivi siku za karibuni nilisoma statements za ndulu akizungumza jinsi gani donors walivyo na confidence na Tanzania na uchumi wetu. Off course hapo nyuma kidogo na mara kwa mara WB na IMF wamekuwa wakitoa mikopo kwa nchi kama Tanzania kwa sababu wanajua watu kama kikwete na ndulu ni wajinga na wananchi wao watakuja kulipa tu. Hizi evidences tumeziona wakati serikali ya Tanzania iki-paint different picture outside while wakidanganya wananchi. The truth ni kwamba doc zote zinazoonyesha the true status of economy i.e. level of debt, financial statements, trade, contracts zipo mikononi mwa kikwete na ndulu, hawataki wananchi wajue wala kuchangia kwenye solutions. Ukiwauliza wanakueleza 'andika barua na tutafikiria kukujibu' utafikiri tunaongozwa sultan wa Oman.
​Daily News | Plans to issue sovereign bonds still on

Kifupi ni kwamba global investors na financial institutions duniani kote wameamua kukataa kununua bonds za Tanzania kwa sababu inchi ya Tanzania haina thamani yeyote kwa sasa (lost credit worthiness). Ukweli ni kwamba Tanzania sasa inafananishwa na kiwanda kisicho na uzalishaji wala performance yeyote ile, this is simple comparison so far. The facts kwamba ndulu alijigamba na ku-bet some countries na investors wangenunua hizi bonds na wao kuweza kupata pesa za kujilipa mishahara, kulipia mafuta ya ndege ya kikwete na kujenga nyumba na kununua magari mapya sasa imeonekana wazi ndulu ni same shit like kikwete.

What's kikwete new plans? Kutokana na credit mbaya ya inchi kikwete anachukua mikopo local banks kwa interest za juu na inchi zingine za Africa kuomba few dollors kulipia mafuta ya umeme, at the same time kikwete anashuhurikia watu kama Jairo, Rostam na Chengewasafishiwe majina. Another economic solution ya kikwete ni kuuza ardhi ili ku-raise funds zao, Idd Simba na Cheyo (serengeti advisers) na Saimon groups ndio wana-craft hii pattern mpya ya ujambazi na kuendelea na tactics za uongo. The reality hapa ni kwamba wananchi tegemeeni hali mbaya sana ya uchumi na maisha, famine ya fedha, chakula, umeme, maji, usafiri bado sana kuwasili karibu na vitongoji vyetu.
UPDATE 1-Tanzanian 7-year bond auction goes unsold

DAR ES SALAAM Aug 24 (Reuters) - Tanzania sold no seven-year Treasury bonds at an auction on Wednesday as the central bank rejected all bids.
The Bank of Tanzania had offered 20 billion shillings of the fixed-rate Treasury bonds with an 10.08 percent coupon.
It received 26 bids worth 26.155 billion. The bids ranged from 70.0000 to 85.6194 shillings.
One analyst said the rising inflation rate and a liquidity squeeze in the market could explain the high yields demanded by Tanzanian investors for government securities as well as the central bank's reluctance to borrow money at high costs.
"The bid prices quoted by investors for the bond at the auction show that they are looking for yields of up to 15 percent," Moremi Marwa, CEO of Tanzania Securities Limited (TSL) told Reuters.
"There is a liquidity squeeze in the market and the main investors in government securities, which are pension funds, commercial banks and some insurance companies, are expecting returns of above the inflation rate."
Tanzania's year-on-year inflation rate jumped to 13 percent in July from 10.90 percent in the previous month on higher food and fuel prices.
"The core issue is the cost of borrowing for the government," Marwa said.
"Tanzania could also be taking a cue from Europe where investors are sceptical of (lending) money to the government. Governments are no longer risk-free, so investors are demanding a premium for the money they put in treasury bonds and bills." (Reporting by Fumbuka Ng'wanakilala; Editing by Yara Bayoumy and Toby Chopra)
UPDATE 1-Tanzanian 7-year bond auction goes unsold | News by Country | Reuters

UPDATE 2-EABL profit slips on Tanzania acquisition costs | News by Country | ReutersOn Agrisol Energy Tanzania | Serengeti Advisers

Huu ni mwanzo tu, mpaka tunafika 2015 tutasikia mengi. USD$1 inauza tsh.1600 sasa!

Tutabaki kulalamika tu, tunashindwa kuchukua hatua dhidi ya kuikomboa nchi yetu kutoka kwa Mafisadi papa wanoongozwa na Jambazi Kikwete

Tutabaki kulalamika tu, tunashindwa kuchukua hatua dhidi ya kuikomboa nchi yetu kutoka kwa Mafisadi papa wanoongozwa na Jambazi Kikwete

Mkuu,

Watu wanataka kukopa kutunisha mifuko yao wanategemea investors ni watu wavivu kufikiri na hawaijui Tanzania. Nafikiri jibu wameshalipata bonds haziuziki kwani kila mtu anazikimbia. Tanzania haifahamu kitu kimoja unapoenda kuomba mkopo kwa watu kwanza lazima ujiulize je wewe mwenyewe mkopaji uko safi? Haiwezekani mtu akakukopesha wakati anajua hutaweza kumlipa au mtasumbuana. Hawa investors wanajua fika accounts za watu binafsi (watanzania walioko nje) wanamiliki kiasi gani. Wanajua fika kuna viongozi wabadhirifu katika serikali sasa unafikiri watatoa pesa zao bure bure nitawashangaa sana. Vile vile rekodi ya ufisadi nchini inawarudisha nyuma pamoja na hatua finyu zinazochukuliwa kupambana na mafisadi papa.

Niliwahi kusema mwanzo dawa sio kukopa bali serikali ifikirie kupunguza gharama zake ili kusave pesa zaidi za kuhudumia shughuli za maendeleo. Vyenginevo we are doom to stuck somewhere.

Huu ni mwanzo tu, mpaka tunafika 2015 tutasikia mengi. USD$1 inauza tsh.1600 sasa!

The govt has totally mismanaged the economy,inflation raging at double digit figure, an all time high of 13%.

Donors hawana ujanja wa kukataa kutoa misaada kwa sababu ni kwa faida yao wenyewe, kama wanaweza wajaribu! LAKINI UKWELI NI KWAMBA HALI NI MBAYA SANA YA MAISHA NA ITAKUWA MBAYA ZAIDI SIKU ZIJAZO! ENDELEENI KUFUNGA MIKANDA

Donors hawana ujanja wa kukataa kutoa misaada kwa sababu ni kwa faida yao wenyewe, kama wanaweza wajaribu! LAKINI UKWELI NI KWAMBA HALI NI MBAYA SANA YA MAISHA NA ITAKUWA MBAYA ZAIDI SIKU ZIJAZO! ENDELEENI KUFUNGA MIKANDA

Ni kweli mkuu, donors wakitumyima misaada tutapata akili ya kujitafutia wenyewe ikiwamo kuwabana katika rasilimali wanazotuibia kama vile madini. Lakini wanajua fika kuwa mtu tegemezi hawezi kufikiri namna ya kutumia rasilimali zake mwenyewe na kuziacha mikononi mwa hao wanaompa misaada

Just look at the price of sugar...one 50kg bag is now sold at arround 110,000/=...at the same time a lot of sugar is exported to Kenya..what the hell is this!

Kichwa cha habari na hiyo habari ni vitu viwili tofauti! halafu link ulizoweka nazo hazihusiani na habari wala kichwa cha habari, zinaongelea bia na sigara! Unanchekesha!

Hivi umetoka usingizini ulikuwa unaota, au mradi ubandike tu humu JF?

Na mamods mnashangaza kweli, hivi huwa mnaziona hizi post na mnazielewa au ndio na nyie ni kama huyu mwanafunzi wa "akademi"?

Well, I am not surprised at ALL in hearing this. I will say this again that there is a ongoing daylite robbery going on at the BoT & this government is doing NOTHING, NoT a Thing to stop this stealing of TZ taxpayers. Money is flowing out of BoT into pockets of few TZ officials & their so called elite friends whose "special" project, the Valambhia case, is still going on.
Now if the government can ALLOW this theft to take place, then imagine where their priorities & intent lie.

A Senior BoT official: "No one cares. No one cares to stop this project because it is their cash-generating machine".
(referring to the Valambhia case)
...excerpt from "REVEALED: The most expensive legal suit in Dar's history" by Richard Mgamba, Sunday Guardian, June 28, 2009.

Kichwa cha habari na hiyo habari ni vitu viwili tofauti! halafu link ulizoweka nazo hazihusiani na habari wala kichwa cha habari, zinaongelea bia na sigara! Unanchekesha!

Hivi umetoka usingizini ulikuwa unaota, au mradi ubandike tu humu JF?

Na mamods mnashangaza kweli, hivi huwa mnaziona hizi post na mnazielewa au ndio na nyie ni kama huyu mwanafunzi wa "akademi"?

FaizaFoxy unakumbuka na wewe ulishawahi kutuma uzi hapa JF kichwa cha habari unasifia Azam Cola na ndani ya habari yenyewe unamponda mengi.Kweli nyani haoni kundule.

Sio mara ya kwanza kuona hizi insensitive and rubbish comments. Population ya Tanzania haigopi ku-discuss issues kama nyie na time will tell kama hapo ikulu mtakaa muda mrefu. Endeleeni kutumia funds za nchi kukimbiza mwenge, kuiba na kutengeneza accounts fake, kuchoma mafuta ya ndege ya vasco dagama, kulipana posho na mishahara mikubwa wakati inchi ina-accumulate huge debt na kusababisha umaskini kila sehemu za maisha ya mtanzania.

'I am sure deep inside you don't believe what you saying but it could be brain issue' why even bother responding!

Kichwa cha habari na hiyo habari ni vitu viwili tofauti! halafu link ulizoweka nazo hazihusiani na habari wala kichwa cha habari, zinaongelea bia na sigara! Unanchekesha!

Hivi umetoka usingizini ulikuwa unaota, au mradi ubandike tu humu JF?

Na mamods mnashangaza kweli, hivi huwa mnaziona hizi post na mnazielewa au ndio na nyie ni kama huyu mwanafunzi wa "akademi"?

Desteo; nasikia ndulu kasoma harvard

Your fomer school does matter. Even A. Chenge former AG, and Jeff Skilling former Enron CEO, are both graduates of Harvard.

Q: What good have Harvard graduates done to this country?
It doesn't matter where your education degree comes from, your intention is what matters. Having a degree from Harvard does not make you the smartest person in the entire nation. What have the Harvard educates of this country done? What have they contributed? Chenge's contribution (among other questionable contracts his name pops up) is the longest, most expensive case in the history of Dar:the Valambhia case. And who benefitted from this case? Certainly NOT the ppl of Tanzania NOR Mr. Valambhia: the incalculable costs of the case are a burden for the TZ taxpayer but the exhaustion of the whole decretal amount filled the pockets of the few and mighty. (& the case, which was already determined by the highest court of the land, the COA in 2003, still keeps going on after the sudden death of Mr. Valambhia in 2005, accumulating cost & still filling pockets of few&mighty. Go Figure!

Mkono's contribution is also the longest, most expensive case in Dar's history, and of course he is an attorney on retainer at the BoT. In law, the first thing they teach is to settle a lawsuit, to obey the Rule of Law, the only thing Chenge did in the Valambhia case is not obey the rule of law of a sovereign nation, instead passed laws in parliament to block Mr. Valambhia's lawful, legal right and make certain it remained unenforceable, meanwhile, from the back door, Mr. Valambhia's money was taken out and given to his other partner, who had no legal right to that money.

Being smart does not come from a designer IVY league college, it comes from your intentions, your will, your character. Take for example, Gandhi, who was educated at Oxford and look what he did to help his country.

Back
Top Bottom