Kuongozwa kwa Kunyimwa Haki ya Kujua Uendeshaji na Maamuzi Yanayohusu Serikali Yako
Tukizungumzia serikali ya Tanzania ni kama sectors za matumizi na hakuna issues zozote relevant katika maisha ya kila siku ya Mtanzania. Kama wengi wanavyochangia kuhusu wizara ya utalii na mali asili (wizi wa wanyama), wizara ya nishati ya madini nayo ni wizi kila mahali. Kitu kinasikitisha ni vipi wananchi wapo behind this government?
Democratic environment create opportunity to build the country. Tuna mifano mingi duniani jinsi gani democracy zimejenga uchumi za inchi nyingi na hasa demokrasia inaleta maendeleo ya uchumi na nchi kiujumla i.e. UK, US, Japan, South Korea, Brazil, Ghana, Botswana. Ukiangalia na kuchunguza hii nchi yetu ya Tanzania ni masikitiko tupu. Makundi ya wananchi wanakaa chini na ku-discuss jinsi ya ku-screw up nchi na wananchi wake, tuangalie mifano ya dowans (loss mabillions of Tshiliings i.e lawyers and chiz deals), expenses za raisi kusafiri kila kona ya dunia bila kazi maalumu.
Wananchi kila mkoa, wilaya na vijiji hawana imani na hii serikali. Nani anataka kuongozwa na kikwete baada ya vitendo vya kudanganya uchaguzi? nani anataka serikali ya kulipa posho kwa bunge kama hongo? nani anataka serikali ya kutenga fedha na kutengeneza account za fake kila siku ili kuficha wananchi? Nani anataka kuongozwa na serikali ya kutenga mamillioni ili raisi (vasco dagama) asafiri kila mahali kujificha ili wananchi wasijue deals zake? Nani anataka inchi kuwa na matajiri wanasiasa na kutokuwa responsible kwa wananchi i.e. kujilipa mishahara na kuishi maisha bora zaidi ya wananchi. Bado serikali inaendela kujitetea kuna katiba Tanzania na kuna vyombo vya usalama, upelelezi na mahakama Tanzania, utelejensia uliopo ni network ya wizi na injustice i.e. angalia usalama wa taifa unavtofanya kazi ya kufuatilia cdm na viongozi wake badala ya wafujaji wa richmond, dowans, epa, wezi wa wanyama. Simply Tanzania hakuna katiba wala sheria, just fools wanakukubali ....
Ukiuliza maswali serikali hiyo hiyo ya kwako unanyimwa majibu i.e. nani ame-sign mkataba na serikali ya Tanzania Tanesco, TPDC, Sukari, Land? Nani kuleta dowans Tanzania? Nani anamiliki makampuni yenye mikataba na serikali, jibu unalopata toka huko kwa watu wa kikwete ni hii 'andika ombi na tutafikiria kukujibu' Hii serikali ipo madarakani kwa idhini ya nani? Kitu kingine cha kushtusha ni kwamba hakuna wananchi wengi wanafanya kazi serikalini wapo tayari kusema ukweli na kulinda taifa lao. This is one of those bull ..... na must end. funny line ni kwamba mtoto wa kikkwete, ridhiwan ndio anafanya anachotaka humu inchini mwetu, what a shame!
My summary is this 'kikwete anaongoza upepo sio watu'