Naombeni ufafanuzi kwa mtu kufanya mtihani wa kidato cha sita kama Mtahiniwa binafsi.
Swali linajengwa na hoja hii:
Kuna kijana alitakiwa kufanya mtihani wa kidato cha sita 2021,lakini akapata matatizo shuleni na kuzuiliwa mtihani licha ya kuwa alikwishakamilisha usajili wa NECTA. Waliondolewa...
Kuna taarifa kuwa Wanafunzi 22 wa Kidato cha Sita wa Shule ya Sekondari ya Shinyanga maarufu kama Shybush, wamefukuzwa shule na kuzuiwa kufanya mtihani wa kidato cha sita unaotarajiwa kuanza mapema mwezi wa tano.
Taarifa zaidi zinadai kuwa sababu kubwa ni fujo iliyotokea shuleni hapo mwezi...
Naomba kuchukua fursa hii kuuliza juu ya mafunzo yanayotolewa vyuo vya ufundi,na kwa umuhimu wa pekee natafuta kujua ni muda upi unahusika kwa mtu kusoma hadi kuhitimu course ya Hotel Management.
Swali langu linajengwa na utata uliopo kwa vyuo hivi huku mitaani. Kuna vyuo kwenye matangazo yao...
Naona wanafunzi wengi wa hapa nchini kwetu hasa wanaosoma PCB wanatamani kusoma MD tu... Kwani haiwezekani mtu kusoma PCB na asome course nyingine iliyonzuri zaidi tofauti na hiyo iliyozoeleka kwa watu wengi?
Ninawiwa kusaidiwa kujua ni muda upi kisheria ambao mtu aliyeshindwa kesi ya madai Mahakama Kuu-Ardhi atakuwa ndani ya muda kukata rufaa kwenda Mahakama ya Rufaa.
Swali langu linajengwa na case ground ifuatayo japo kwa ufupi sana. Mnamo mwaka 2014,Jamaa yangu Mjasiriamali aliomba na kupewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.