Search results

  1. KINGSLEE

    INAUZWA Solar cooker

    Habar zenu wadau, Nchi zilizoendelea wapo mbali sana In all Aspect of life katika matumiz ya Teknolojia Economical, social, na political . Sasa Naomba kujua hapa Tz/mikoan ni wapi naweza kupata jiko la solar.
  2. KINGSLEE

    Naomba kufahamishwa haya kuhusu gari aina ya Mitsubish Outlander 2012 model

    HAbar Wadu mpo pouwah! naomba kupata Abc za hiyo mashine maana last week nimetoka nayo Songea ndani huku Vijijin ni full OffRoad to Dar chombo inatembea mno With Navigation feature. Previously nilikuwa naidharau but naanza kuona/kuhisi itanunuliwa Mno Son as pocbo km Harrier ilivyopokelewa...
  3. KINGSLEE

    Masters za mwaka mmoja

    Habari Wadau, Katika pilika pilika za maisha hapa na pale nimeona Tangazo la chuo cha IAA linalosema wanatoa Masters kwa mwaka mmoja. Naomba kuuliza wadau hii kitu imekaaje. Je, Mamlaka husika? zimeruhusu baadhi ya vyuo kutoa Shahda ya Uzamili kwa mwaka mmoja wakati vingine vikitoa kwa miezi...
  4. KINGSLEE

    Iringa: Kila Mtanzania ale usawa wa Kamba yake. Trafiki akamatwa kwa rushwa

    Kumekuwa na Tabia mbaya sana kwa hawa watu kutunyanyasa pindi tunapokuwa safarin. Sasa dawa yao ipo jikon. Tutakomaa nao mpka kieleweke.. Kwa familia zilizokumbwa na Mkasa huu Tafadhal naomba Mnisamehe sana. Mungu Ibarik Tanzania Mungu Ibariki Africa. ===== TAKUKURU Mkoa wa Iringa...
  5. KINGSLEE

    Ni ipi kati ya TMDA na TRA inalipa vizuri?

    TMDA VS TRA Habar wadau mpo pouwah. Naomba mwenye kujua ni Agency ipi kati ya hizo yenye kulipa vizur? A) Mishahara ipoje B) Allowance wapi ni nyingi zaid.. Maana kuna rafk yangu wa karibu sana ameniambia ofcn kwao amepokea barua mbili ndan ya wiki sasa anashindwa kujua achaguwe wapi...
  6. KINGSLEE

    Kwanini gari za Kia Sportage zinatengenezwa Korea kuwa na bei ndogo kuliko Team Toyota

    Wadau habar zenu, Naomba kujuwa ni kwanini gari za KIA SPORTAGE zinatengenezwa Korea kuwa na bei ndogo kuliko Team Toyota. Hizi Kia Sportage zinaComfortable nzuri tuu hata baadhi ya Toyota with the same Class hazizikutii kwa Ubora. Mfano hii ipo Comfortable, Luxury, ina high Stability with...
  7. KINGSLEE

    Azam king'amuzi wanaamini Watanzania ni wajinga

    Kwanza niwe muwazI ninawakubali sana hawa jamaa Channel zao nyingi ni HD compared na vingamuzi vingine ukitoa Dstv. Ishu ipo hivii:- Azam TV wametangaza punguzo la bei kwenye vifurushi vyake ambavyo ni Azam Lite kutoka 10,000 hadi 8,000, Azam Pure kutoka 18,000 hadi 13,000 na Azam Plus kutoka...
  8. KINGSLEE

    Alibaba online mnazingua

    Wadau naomba kupata ELimu kubusu hili! Leo katika Harakati za hapa na Pale nikajaribu kununuwa bidhaa kupitia mtandao huo wa Alibaba. Nilikuwa nahitaj Pressure cooker only 1 Piece ila kilichonishangaza bei ya kununua ni Normal price that I Can Afford but bei ya transport ni mara 10 ya bei ya...
  9. KINGSLEE

    Msaada: Naomba muongozo wa Interview TRA

    Hellow friends. Naomba mwenye kujua possible angles hawa jamaa wa TRA wanazouliza kwenye interview ya Tax Manager Officer. Maana mambo mengi sana yakusoma so sijajuwa wapi hasa hawa jamaa huwa wamelenga zaidi.
  10. KINGSLEE

    Usisumbue akili yako kwa maneno ya kuambiwa kitu fulani kinalipa

    Kwa mfano, Ukipata nafasi ya kufika kule Mbozi, Mbeya ukakutana na habari za watu wanaotajirika kutokana na kilimo cha kahawa, kwa kweli unaweza kuwehuka, na kujiona kama mtu uliyechelewa kweli kweli. Wakati unarudi, kama ukishuka Mafinga, Njombe na kufuatilia stori na kutazama mamilionea...
  11. KINGSLEE

    Ipi nzuri kwenye rough road kati ya gari aina ya Mitsubishi Outlinder na Subaru Forester za mwaka 2009

    Hizi gari zote mbili nazipenda sana kwa mwonekano na hata ground flour yake iko vizuri but Naomba kujua ipi ni nzuri kwenye Rough road. Inayo perform vizur Stability yake Durability yake Endapo nikitaka kuiuza hapo baadae je inauzika. Matumizi ya Long safari mfano Dar to Kigoma. Cc? zake...
  12. KINGSLEE

    Rav 4 old model 1990

    Habar wadau Naomba kujua mambo ya kitaalam kuhusu hili gari. lina injin aina ya 3S 1990 cc, 4WD Naskia ni Imara sana na liko vizuri kwenye Rough road PLz kwa mwenye Ujuzi nalo; Naomba kujua gari hili naweza nikafunga Injini ya Aina gan Automatic ambayo inaweka ikafiti na ambayo itakuwa ni...
  13. KINGSLEE

    Tumempata Rais wa kweli mwenye nia ya dhati

    My Take: Niseme tuu wazi bila kinyongo bali kiroho safi kuwa tumempata Rais ambaye anania njema kabisa ya kulipandisha hadhi Taifa letu katka nyanja mbali mbali ikiwemo maswala ya "INFRUSTUCTURE" Kwenye miundombinu kutaboresha maslai ya Taifa kwa Wananchi wote siyo wafanyakaz tuu namaanisha...
  14. KINGSLEE

    Je wajua Gari Nzuri kama hii...

    Habar Wadau Naomba kupata Elimu juu ya Gar yenye 4WD ambayo itakuwa ina cc chini ya 2000. Vilevile ipo juu ili niweze kupita barabara za Rough road na hizi za Lami.. Angalizo: Iwe ni Kutoka TOYOTA product.. Ukiweka na picha ya Gari itapendeza zaid... Sent using Jamii Forums mobile app
  15. KINGSLEE

    Ushuhuda wa tukio la ushirikina mjini kigoma

    Habar zenu Wadau Juzi shoga yangu alifukuzwa kazi hapa tukaelekezwa na rafiki yangu kwa Mzee Kingwele anaishi mpakan na CONGO. Tulipatiwa huduma pale siku nne tuu. Siku ya pili na ya tatu tulivyokwenda nikashuhudia folen kubwa sana ya watu wenye shida mbali mbali ila idadi kubwa ni wanawake...
  16. KINGSLEE

    Nahitaji family car kwa bajeti ya tsh 14 milioni

    Habar zenu Wadau Baba mkwe wangu kaniagiza kuwa anahitaji kununuwa gari ya family car ana bajeti ya milion 14 tu. Sifa za gari hiyo ni; 1) Iwe ni 4 cylinder 2) Haili mafuta mengi 3) Imara 4) Spear zake ziwe zinapatikana kiurahisi KIMSINGI SINA ELIMU SANA YA MAGARI HIVYO NAOMBA MSAADA WENU WA...
  17. KINGSLEE

    Ipsum new Model vs Toyota Wish

    Wadau nataka kununuwa gari mojawapo kati ya hizo hivyo naomba msaada wakujua ni gari ipi nzuri kati ya hizo. Nimelenga kumiliki Family car with 4 silinda na bajeti yangu ni 15m. Nielimishe.. 1) Idadi ya watu kukaa 2) Ukubwa wa Engine 3) Uimara wake 4) Upatikanani wa spear 5) Ipi ina status...
  18. KINGSLEE

    Ujenzi wa nyumba nzuri yenye vyumba vinne

    Habar zenu wadau wa GT. Nina milion 3 nipo Morogoro nampango wakujenga nyumba nzuri ya kisasa ila kwa taratibu. Nyumba hiyo naomba Raman nzuri kwa mwenye nayo. Idea niliyonayo ni kujenga Msingi wa nyumba nzima halafu nainua Chumba cha Master(Kinakuwa na choo chake) nakijenga mpaka mwisho ambapo...
  19. KINGSLEE

    Future ya Masters of Science in health economics and Policy managrment ni ipi?

    Habar zenu wadau. Nimemaliza bachelor ya Uchumi mwaka 2016 hapa Mzumbe. Natamani kusoma Masters ya Afya (Masters of Science in health economics and Policy managrment) na katika kutafuta ndio nikaikuta hii. Kimsingi imenivutia sana but inatolewa na Nairobi University lakin hapa Tz hakuna...
  20. KINGSLEE

    Mmh! Hiz Scholarship/ Sponsorship tuwe makin sana.

    Habar wadau: Mdogo wangu alipata Scholarship ya Masters katika chuo cha "NYU WAGNER" Wakataka Recommendations tukafanya kila kitu, baadae Familia tukastuka hivyo tukaona its better to Confirm kama TCU wanakitambua hicho chuo. Majibu ya TCU yamenifurahisha sana hivyo nikaona its better tuka...
Back
Top Bottom