Mmh! Hiz Scholarship/ Sponsorship tuwe makin sana.

KINGSLEE

JF-Expert Member
Aug 30, 2013
824
1,032
Habar wadau: Mdogo wangu alipata Scholarship ya Masters katika chuo cha "NYU WAGNER"

Wakataka Recommendations tukafanya kila kitu, baadae Familia tukastuka hivyo tukaona its better to Confirm kama TCU wanakitambua hicho chuo.

Majibu ya TCU yamenifurahisha sana hivyo nikaona its better tuka Shea Ideas pamoja.

<+255............>, Hi Doctor the university name does not match with records for universities' Worldwide Database of Higher Education Institutions Systems and Credentials PSE be advised;
So be care on that.
 
Back
Top Bottom