Future ya Masters of Science in health economics and Policy managrment ni ipi?

KINGSLEE

JF-Expert Member
Aug 30, 2013
824
1,032
Habar zenu wadau.
Nimemaliza bachelor ya Uchumi mwaka 2016 hapa Mzumbe.

Natamani kusoma Masters ya Afya (Masters of Science in health economics and Policy managrment) na katika kutafuta ndio nikaikuta hii.

Kimsingi imenivutia sana but inatolewa na Nairobi University lakin hapa Tz hakuna.

Naomba kujua mwenye ufahamu na kada hii anipe Elimu.
 
Back
Top Bottom