Ni ipi kati ya TMDA na TRA inalipa vizuri?

Ni ipi kati ya TMDA na TRA inalipa vizuri?

KINGSLEE

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2013
Posts
842
Reaction score
1,063
TMDA VS TRA

Habar wadau mpo pouwah.

Naomba mwenye kujua ni Agency ipi kati ya hizo yenye kulipa vizur?

A) Mishahara ipoje
B) Allowance wapi ni nyingi zaid..

Maana kuna rafk yangu wa karibu sana ameniambia ofcn kwao amepokea barua mbili ndan ya wiki sasa anashindwa kujua achaguwe wapi Ahamie...
Yeye ni Muhasibu yupo Halmashaur.......
Nawasilisha...
 
TMDA zamani ndio ilikua TFDA sio?
 
TMDA naona TRA wna posho kibao ila mshahara hawatoboi TMDA ila TRA kuna fursa na special duty nyingi za kupiga pesa na overtime
 
TMDA VS TRA

Habar wadau mpo pouwah.

Naomba mwenye kujua ni Agency ipi kati ya hizo yenye kulipa vizur?

A) Mishahara ipoje
B) Allowance wapi ni nyingi zaid..

Maana kuna rafk yangu wa karibu sana ameniambia ofcn kwao amepokea barua mbili ndan ya wiki sasa anashindwa kujua achaguwe wapi Ahamie...
Yeye ni Muhasibu yupo Halmashaur.......
Nawasilisha...
kama kuajiriwa si anapokea offer letter anaconfim
 
Kapata barua ya uhamisho ila haisem habar ya Mshahara. Sasa ndio anauliza wapi aende.
focus yake ni mshshara na Marupurupu mengi yapo taasisi ipi hapo?
TMDA aende TRA lawama na walipunguziwa allownce kipind cha magu
 
TMDA is the best hawa jamaa wapo vyema mno, sisi wengine majina makubwa ila pesa hakuna
Na kwel bhana mtu ukisikia yupo TRA Unaona km ana status fulan hivii kuliko Taasisi zingine
 
TMDA VS TRA

Habar wadau mpo pouwah.

Naomba mwenye kujua ni Agency ipi kati ya hizo yenye kulipa vizur?

A) Mishahara ipoje
B) Allowance wapi ni nyingi zaid..

Maana kuna rafk yangu wa karibu sana ameniambia ofcn kwao amepokea barua mbili ndan ya wiki sasa anashindwa kujua achaguwe wapi Ahamie...
Yeye ni Muhasibu yupo Halmashaur.......
Nawasilisha...
Hiv nani kasema TRA kuna mishahara mingi? TRA kuna njia nying za pesa mbadala. Yan hata polisi wa Patrol, trafic, bandari, airport wote mishahara ile ile ila wanatofautiana kwenye pesa mbadala[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 
Mishahara inafanana ni 1.8m kwa degree holders nashangaa WAHUNI alowataja polepole wanakudanganya kumbe bado wapo,TMDA ilikua zamani kipindi inaitwa TFDA wakati yule binti wa Sitta(spika wa zamani wa bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania) akiwa mkurugenzi pale yule dada hakua na shida ni mzungu ila ngekuwa mimi ngehamia TRA maana deal kule mingi,
Kumbe wahuni bado wapo kweli
 
Back
Top Bottom