Msaada: Naomba muongozo wa Interview TRA

KINGSLEE

JF-Expert Member
Aug 30, 2013
686
1,000
Hellow friends.

Naomba mwenye kujua possible angles hawa jamaa wa TRA wanazouliza kwenye interview ya Tax Manager Officer.

Maana mambo mengi sana yakusoma so sijajuwa wapi hasa hawa jamaa huwa wamelenga zaidi.
 

BOFREE

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
476
500
Tax manager officers? Ni tax management officer.
Tax management officer sio tax manager officer ( hakuna kitu kama hichi manager half apo apo officer )kazi ipo kweli kweli kwa written asome attribute,cannon,characteritics of tax, classfication of tax according to shiftability of incidence and tax burden.

Soma sources of gvt revenue, types of assessment, soma income tax act, VAT act ,employment act kikubwa zaidi pitia mzgo wote wa NBAA wa public finance and taxation ukiwa huna ni pm nikitumie pdf file mwisho nakutakiaa mtihan mwema
 

BOFREE

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
476
500
Hellow friends,

Naomba mwenye kujua possible angles hawa jamaa wa TRA wanazouliza kwenye interview ya Tax Manager Officer
maana mambo mengi sana yakusoma so sijajuwa wapi hasa hawa jamaa huwa wamelenga zaidi.
Ukipitia mzigo huu haukosi kitu hawa ndio wenye mtihan au wenye mtihan wamepitia huku
Screenshot_20200701-075719.jpg
 

kijanamimi

Senior Member
May 29, 2015
170
225
Tax management officer sio tax manager officer ( hakuna kitu kama hichi manager half apo apo officer )kazi ipo kweli kweli kwa written asome attribute,cannon,characteritics of tax, classfication of tax according to shiftability of incidence and tax burden
Soma sources of gvt revenue, types of assessment, soma income tax act, VAT act ,employment act kikubwa zaidi pitia mzgo wote wa NBAA wa public finance and taxation ukiwa huna ni pm nikitumie pdf file mwisho nakutakiaa mtihan mwema
Vipi mkuu upande wa customs officer?
 

kijanamimi

Senior Member
May 29, 2015
170
225
Hiyo PDF ndani yake kuna customs pia soma na custom management act,, Covid-19, mkuu tutakutana pale Udsm tushinde paper
Asante mkuu nitapitia ,na kweli nahisi ishu za corona haziwezi kukosa kwenye paper ,,tarehe 7 patakua hapatoshi.
 

Makande 26

Senior Member
Jul 23, 2019
128
250
Samahani kidogo kama ntakua harsh lakin kitendo cha kua umemaliza masomo na unataka ajira then unaomba possible questions sidhani kama ni vizuri
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom