Naomba kufahamishwa haya kuhusu gari aina ya Mitsubish Outlander 2012 model

KINGSLEE

JF-Expert Member
Aug 30, 2013
817
1,020
HAbar Wadu mpo pouwah!

naomba kupata Abc za hiyo mashine maana last week nimetoka nayo Songea ndani huku Vijijin ni full OffRoad to Dar chombo inatembea mno With Navigation feature.

Previously nilikuwa naidharau but naanza kuona/kuhisi itanunuliwa Mno Son as pocbo km Harrier ilivyopokelewa hapa Tanzania.

Nifahamu kuhusu:
a) horse power
B) Engine type
C) fuel consumption
D) Comfortability
E) SPEAR part.
D) ni model ipi ipo vizur zaid ktk Durability?
Etc..
 
Mkuu kama umetoka nayo Songea to Dar Mbona majibu ya baadhi ya maswali yako hapo juu unatakiwa uwe nayo? Anyway nitakupa abc chache nazofahamu kwa engine.

Nitaongelea engine ya 4D56 turbo common rail DID ya Diesel ambayo mie ndo nina uzoefu nayo.

It’s a very powerful engine, inachanganya haraka sana, very impressive fuel economy (1 liter for 12-14 km on highway na 1 lita kwa km 10 ukiwa mjini). Inapanda milima kama vile ni mteremko na ina pulling ya kuvutia sana.

Engine ina CC 2500 na kwa kweli haisumbui. Nilichoona kama ndo ugonjwa wa hii gari ni clutch, katika miaka 6 niliitumia nimedeal na clutch mara 4 mpaka sasa. Hivo naamini ukipata ya automatic may be utakwepa hilo tatizo.
 
Naona miaka hii ya karibuni hizi gari zimeanza kupendwa mno hata Mimi naona ni gari ya maana Sana.
NI Bora kumiliki hii ndinga kuliko harrier, vanguard na kluger
 
Mama yangu mkubwa anayo ile ya generation ya kwanza ili panda mwinuko m1 bukoba vijijin mpaka nikashangaa gari nyng zilishindwa kuupanda ,ina 4 wd kali sana haitelezi kwenye mlima, huu mwaka wa 3 anayo iko tabora ndani ndani humo.
 
kwa sasa inavyonunuliwa kwa kasi soon zitapanda bei kutok hyo 17-19M utashangaa zinafika 21 na kuendlea kama bei zilivyopanda kwa Dualis & forester mwanzon wakat zinaanza kununuliwa Tanzania bei ipo chini kulinganisha na sasa
 
Back
Top Bottom