KINGSLEE
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 842
- 1,064
Wadau naomba kupata ELimu kubusu hili!
Leo katika Harakati za hapa na Pale nikajaribu kununuwa bidhaa kupitia mtandao huo wa Alibaba.
Nilikuwa nahitaj Pressure cooker only 1 Piece ila kilichonishangaza bei ya kununua ni Normal price that I Can Afford but bei ya transport ni mara 10 ya bei ya kununua bidhaa Ninayohitaji.
Sihitaj transport Express even postal niko willing but sipati option ya kusubiria mzigo wangu at least 1 month uwe umefika Dar.