Search results

  1. Domenia

    Tujadili EPA

    Kwani hatuwezi kuitisha kikao na hao EU ikajumuisha utalii viwanda biashara Miundombinu, renewable energy na vurugu zote Kama uwezekanavyo-tu dadafue na Makataba wa EPA urekebishwe " EPA Map Amendment Treat "- Wasomi wote Mbele Mwenyekiti JPM- Wapi na wapi Ikae Vipi? Mafano mashine za...
  2. Domenia

    ULIMI WA SINGIDA!

    Nasikitika na kuumpa Pole jamaa alie kutwa ULIMI mkoani SINGIDA Ila Sijui nani atakae tufafanulia ilikuaje? Mbona kipande kilicho ng'atwa na kukatwa Ni ki kubwa sana -mtuuhumiwa aliwe za weza je kupenya umbali huo- Picha ya ULIMI iliyo tolewa na JF ndio picha halisi?
  3. Domenia

    kuna sababu Gani Za Kumfanya Lowasa Ashinde?

    Kwanza Ndo wiki ya kwanza...Ukweli utajitenga...si muda Mrefu Lowasa Atashindwa...
  4. Domenia

    Mhe Magufuli Anafaa Kua Raisi 2015

    Kama Mhe Magufuli atachukua form basi Watanzania hawata Kua na haja ya kufanya chaguzi ...Magufuli anaeleweka, ni Mfano unaopendwa Kila kona ya Tanzania ...Nani Anae pinga?
  5. Domenia

    Uwekezaji kilimo Tanzania

    Niwakati wa kua Makini na Mikataba ya uwekezaji ya Kilimo- kulingana na upeo na fikra na ulimbikeni wa viongozi tuliona-tusipokua makini matokeo yatakua ni tofauti na matarajio ya wananchi... ni bora na ni wakati kwa selikari kutafakari... Wakulima wadodo wadogo waliopo ndio wapewe...
  6. Domenia

    Mwimbo mpya unao enzi muungano na serikali moja

    jina la wimbo- MISSING J.K Douwload free at Limbe - Music - HulkShare or buy it at Limbe Music, Lyrics, Songs, and Videos
  7. Domenia

    Hivi-''public policy analysis" SIO Matusi Kweli?

    Sylvanus Mataro... Jamani kwa tusiojua hamna katiba bila ushiriki wa vyama vya siasa....Tusaidiane kuwaambia wenzetu kua UKAWA SI KAKIKUNDI KADOGO kama wanavoelewa wengi wetu....never! Hapa public policy analysis inahusika zaidi!-Huyo jamaa alini maliza kwenye facebook.. hivi ana maanisha...
  8. Domenia

    Kama ningekua raisi wa taifa la waswahili ....

    Kama ningekua Raisi wa jamuhuri ya muungano ninge washauri waswahili huu ni wakati muafaka kua na Serikari moja.. kwani tatizo lipo wapi? Suala la zanzibar kumezwa ni uongo kwani shinyanga ime mezwa na nani mpaka sasa.?
  9. Domenia

    Hata Kama Mnataka Serikali Sabini...Mwisho wa Siku Waswahili ni Wamoja..!!

    Mnazungumza umoja...ila roho zenu zina u mbili....fikra zenye Tamaa na ulafi...ubishi...msiwe waoga wa kufikiria...Tengenezeni Katiba yenu!! yenye mambo yenu...yenye ubunifu wenu...utamaduni wenu...ni !!! ni rahisi kama mtawapenda na kuwalinda watoto wenu.ardhi yenu....lugha yenu... mawazo ya...
  10. Domenia

    Fanya Kazi Kwenye Komputa Yako na Upate Fedha!!

    Join | Invite | Earn kijiunaga tumia link ifuatayo VisitProfit.com - Earning website for Students and House wife
  11. Domenia

    Dawa Ya Elimu kwa wa-Tanzania....

    wakati najia andaa kutupia hoja jiulize yafuatayo... Ina kua aje? wanafunzi waliopata alama za chini za ufaulu ndio wachaguliwe kwenda kusoma uwalimu..??. wanafunzi walio maliza kidato cha nne wengi wao bado ni vijana- watoto..!! kwanini serikari isitoe nafasi ya kurudia kwa hiari wanafunzi...
  12. Domenia

    Mtanzania Kushiriki Maonyesho Makubwa ya Sanaa New York Endapo Atashinda Maoni Yenu!!

    Matanzania Masanii Gabriel sos limbe Atashinda zawadi kubwa kutegemeana na uzalendo wenu!! ona kwenye Gabriel Limbe collection yenu au maoni maoni yenu yatamsaidia kufika mbali katika kuitangaza nchi yake Unacho takiwa ni ku Collect kwenye web page yake!!
  13. Domenia

    Hivi MKUKUTA umeishia wapi?

    Haya mambo ya kupambana ma umasikini yameishia wapi...Naona wahusika karibia wote sasa wana onekana mafisadi... hii ime kaaje?
  14. Domenia

    Application for permission to date my daughter

    Note: This application will be incomplete and rejected unless accompanied by a complete financial statement, work history, lineage, and current medical report from your doctor. 1. Name_________________________________ date of birth___/___/___...
  15. Domenia

    Barua ya wazi kwa vyama vyote vya kisiasa tanzania

    CCM Ni chama cha muda mrefu, ni chama chenye uzoefu,..ni chama maarufu,Ni chama ambacho kina beba historia ya nchi yetu ya baada ya uhuru hadi sasa…watoto watakua na kusoma habari za CCM tangu kilivyokua chama safi kabisa hadi kilipo chafuka..watasoma jinsi walivyo ibiwa…umasikini,ujinga na...
  16. Domenia

    Watanzania Ndio walio ivuruga CCM

    Hongera Rais jakaya kikwete kwa kukubali ndani ya CCM kuna Mafisadi…!!! Hatimaye umetoa siku tisini watuumiwa wote watoke ndani ya CCM… Japo imekichukuamuda mrefu chama cha mapinduzi kufikia hatua na kutoa maamuzi kama hayo… Kwa kifupi msimamo wa chama zidi ya mafisadi haujaeleweka...
  17. Domenia

    Hongera TANAPA

    Kwakua sekta ya utalii inaongoza kwa asilimia kubwa kuchangia pato la taifa ukilinganisha na sekta ya mdini...kilichofanywa na TANAPA ni hatua nzuri....tena kubwa ukilinganisha na office nyingine za serikali... sasa malipo yote ya tanapa kufanywa kwa electroniki!!!....hakuna tena hardcash...
  18. Domenia

    Siasa za Kimasikini....

    Wananchi wanaburuzwa na wabunge!!! Je...wabunge hawaoni Posho wanazo lipwa Bungeni ni kubwa ikilinganishwa na pato la mwananchi wa kawaida? Hebu fikiria Milioni 12....12,000,000/= kwa mwezi kwa kila mbunge...zidisha mara zaidi ya mia tatu!!! fanya 300 mara 12,000,000/= mara12 mara 5...bado kuna...
  19. Domenia

    Nssf...

    Hii ni kwa Natinal Security Social Fund... napenda kuchukua nafasi hii kuwapa wazo jingine lenye faida kwenu... Ina wezekana kabisa asilimia kumi mchango kutoka kwa muajiri ika bakia hivyo hivyo na asilimia kumi kutoka kwa muajiriwa ikawa ni kiwango cha chini cha mchango!!Kutoka kwa...
  20. Domenia

    MBWAAAAA- Na SI SI JE!!

    baada ya jambisha- Jambisha!!..... bab-kubwa ya CCJ...sisi-me ana angaika kushika korodani zake kila mara...halali usingizi.... mara Mbwaaaa....mbwaaaaaaaaaaaaa.... jamani acheni tabia hii mbaya ya kutishiana tishiana......mbona hivyo.. Ukumwaga Ugali nina mwaga Mboga... ona CCM wanavyo...
Back
Top Bottom