Domenia
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 462
- 23
Wananchi wanaburuzwa na wabunge!!!
Je...wabunge hawaoni Posho wanazo lipwa Bungeni ni kubwa ikilinganishwa na pato la mwananchi wa kawaida? Hebu fikiria Milioni 12....12,000,000/= kwa mwezi kwa kila mbunge...zidisha mara zaidi ya mia tatu!!! fanya 300 mara 12,000,000/= mara12 mara 5...bado kuna posho!!
hela hizo Hazi tozwi Kodi...
lakini wabunge wa CHADEMA CCM CAF na wengine Wanajifanya wana machungu na INCH HII....WAO NDIO WAWE WA kwanza kuona makalio yao....
Vyama vya siasa vina farakana kila kukicha...lakini mwisho wa siku ni tamaa ya mali ya uma....
Tuna danganywa..kuhusu Dowans..umeme hakuna.....
kama vipi basi katiba iweke wazi...mshahara wa mbunge...
*asilimia kumi ya mshahara wa mbunge iwendio kima cha chini cha mshahara wa serikali....kama haiwezekani...kutokana na ufinyu wa bajeti..mbunge alipwe milioni tatu kwasababu kima cha chini ni laki tatu....