Hongera TANAPA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hongera TANAPA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Domenia, Mar 5, 2011.

 1. Domenia

  Domenia JF-Expert Member

  #1
  Mar 5, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 462
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwakua sekta ya utalii inaongoza kwa asilimia kubwa kuchangia pato la taifa ukilinganisha na sekta ya mdini...kilichofanywa na TANAPA ni hatua nzuri....tena kubwa ukilinganisha na office nyingine za serikali...
  sasa malipo yote ya tanapa kufanywa kwa electroniki!!!....hakuna tena hardcash....
  Ninachopenda kuwaambi mbia ni kwamba ongezeni mibadala mingi (Altenatives) zaidi ya VIZA card, Master Card Na tembo card Ya CRDB twende hata kwenye MPesa...

  Twende hadi tufike mbali....
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Hakuna watu wazembe kama hao TANAPA.
  Maajabu yao n kwmb ukfka mwsho wa mwezi utawaona na masanduku ya hela wanazisomba kupeleka huko porini, eti ni mishahara ya staff, na mara nyingi sn wameponea chupchup kuibiwa.
  pamoja na kuwa na mapolisi au kuzisafirisha kwa ndege, bado n risk kubwa sn, na ni mambo ya kizamani sana.
  Kwa hilo bado sijawapongeza.
   
 3. Domenia

  Domenia JF-Expert Member

  #3
  Mar 5, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 462
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  He he...Inabidi wajirekebishe.....Kama malipo ya wageni kuingia Mbugani sasa yanafanywa kwa mastercard...basi na wafanya kazi wasilipwe mikononi....fedha za misha ara ziwekwe benki...
   
 4. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #4
  Mar 5, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Inaongoza sawa but mapato hayaendani na hali halisi!
   
 5. Domenia

  Domenia JF-Expert Member

  #5
  Mar 5, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 462
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  sasa hapa kwenye malipo ya umeme(electroniki) fedha itapatina...
  fedha yaserikali inayo ibiwa kila mwaka....na kupotea kila mwaka hat Wabunge hawajui....Hata CCM -CHadema Hawajui.. Cafu Mbumbu...mwanainchi ndio kichaa....

  hapo walipo anzia TANAPA sio pabaya....najua kizazi cha mafanikio kinakuja
   
 6. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #6
  Mar 5, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  kwani hili ndilo alilowapongezea huyu alietoa hii mada??
  sasa kama wao ni wazembe(kam ulivyowaita) na wamejitahidi japo kwa hili 1 wasipongezwe??
  Lada me changamoto hapo ni wale watalii wa ndani, wengine wanaweza wasiwe na Kadi hizi.itakuaje??
   
 7. Domenia

  Domenia JF-Expert Member

  #7
  Apr 14, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 462
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  they have to put more options....
   
 8. Mtanga Tc

  Mtanga Tc JF-Expert Member

  #8
  Apr 14, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 228
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Japo hili la matumizi ya kadi za electronic limeanza miaka kadhaa sasa(yamkini miaka 4 iliyopita),bado kuna mianya ya udanganyifu na udokozi inaendelea kwenye vituo hivyo vya ukusanyaji huko kwenye mbuga na tumeshuhudia baadhi ya watumishi wakiadibishwa kwa kufanya" usanii"Kumbuka walioweka mfumo huu ni wanadamu!
  Nadhani bado inahitajika system nzuri zaidi kuzidhibiti haya mapato ya tanapa!
   
 9. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #9
  Apr 14, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Bwana Domenia thready yako haina utata kuhusiana na TANAPA kutumia visa/master card kwenye mageti ya kuingilia mbugani, kwanjia moja ni kua imedumisha usalama kwa madereva na kwa wageni pasipo wao kutembea na hard cash. shida moja ninayowalaumu wakala wanaotupatia hizo card za TANAPA nawaongelea Exim bank wao wanatupa card baada ya kuTop up lakini unapofika magetini unakutana na usumbufu mkubwa mno kuhusiana na pesa zile tulizoTop up kwenye card zao bado hazija kua activate inatubidi tukae muda mrefu sana getini mpaka wawasiliane na makao makuu Dar es salaam inaweza kukuchukua hata masaa ma3 sasa hii ni usumbufu kwa watalii kwakua wao wameshawalipa mawakala hela tokea hata siku 4-5 kabla sasa kuhusiana na usumbufu wa net work hela hazijakua activate hiyo haiwahusu watalii kwa hiyo hii ni kero kubwa sana.
   
 10. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #10
  Apr 14, 2011
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Malipo ya elektroniki ni kwa ajili tu ya kudhibiti makarani wa getini tu, bali kwenye ofisi ni hard cash zinatumika. Sielewi wanapewa hongera kwa lipi?
   
 11. Domenia

  Domenia JF-Expert Member

  #11
  May 13, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 462
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wambugani..baada ya kumaliza kwenye mageti sasa tunaenda...maofisini....
   
Loading...