Tujadili EPA

Tujadili EPA

Domenia

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
462
Reaction score
23
Kwani hatuwezi kuitisha kikao na hao EU ikajumuisha utalii viwanda biashara Miundombinu, renewable energy na vurugu zote Kama uwezekanavyo-tu dadafue na Makataba wa EPA urekebishwe " EPA Map Amendment Treat "-

Wasomi wote Mbele Mwenyekiti JPM-
Wapi na wapi Ikae Vipi?
Mafano mashine za viwanda- wote wanataka Kitu uzia hata China na India wanapenda kupenya kwa mtindo huo...
Hapa hapana -
Basi ikishindikana lakini naamini Itakua vizuri
Biashara za mitandao Labda kwa wapo watakao faidika pia pande zote..
Mawazo ya kisomi yata zingatiwa-
 
Back
Top Bottom