ULIMI WA SINGIDA!

ULIMI WA SINGIDA!

Domenia

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
462
Reaction score
23
Nasikitika na kuumpa Pole jamaa alie kutwa ULIMI mkoani SINGIDA Ila Sijui nani atakae tufafanulia ilikuaje? Mbona kipande kilicho ng'atwa na kukatwa Ni ki kubwa sana -mtuuhumiwa aliwe za weza je kupenya umbali huo-
Picha ya ULIMI iliyo tolewa na JF ndio picha halisi?
 
Alie ng'atwa alikua kidomo domo ulimi mrefu -
 
Back
Top Bottom