Hivi MKUKUTA umeishia wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi MKUKUTA umeishia wapi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Domenia, Dec 6, 2011.

 1. Domenia

  Domenia JF-Expert Member

  #1
  Dec 6, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 462
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Haya mambo ya kupambana ma umasikini yameishia wapi...Naona wahusika karibia wote sasa wana onekana mafisadi... hii ime kaaje?
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Dec 6, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 59,121
  Likes Received: 32,766
  Trophy Points: 280

  Mkuu, MKUKUTA kama ilivyokuwa kawaida ya nchi yetu hii kitu pamoja na kutumia mabilioni ya pesa imekuwa ni failure ya hali ya juu na ndiyo maana hata sasa hivi haitajwitajwi tena kama ilivyokuwa miaka ya karibuni. Sijui kama kuna lolote litakaloweza kufanyika ili MKUKUTA iwe na mafanikio ya aina yoyote ile.

  Poverty Monitoring
   
 3. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #3
  Dec 6, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,740
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Nilisikia MKUKUTA alimtemelea jamaa yake MKURABITA na wote kwa pamoja wakaenda vakesheni France na Spania, mpaka sasa hawajarudi.
   
 4. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #4
  Dec 6, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Huyo MKUKUTA mara ya mwisho alionekana ameongozana na Gaddafi. Sasa sina uhakika kama watakuwa wameondoka wote au vipi.
   
 5. s

  semako Senior Member

  #5
  Dec 7, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huu ni mkakati wa kuondoa utajiri na kuongeza umaskin tanzania,bado unaendelea
   
 6. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #6
  Dec 7, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,905
  Likes Received: 226
  Trophy Points: 160
  Kama Rusia wanataka Putin arudi ikulu, basi hata sisi tunaweza kumrudisha mzee Mkapa ikulu ili aje azifufue hizi MKUKUTA na MKURABITA. Ni mawazo tu.
   
 7. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #7
  Dec 7, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,696
  Likes Received: 385
  Trophy Points: 180
  Mkukuta na Mkurabita,ulikuwa wimbo wa mzee wa ukweli na uwazi
   
 8. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #8
  Dec 7, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,291
  Likes Received: 314
  Trophy Points: 180
  mkukuta¤mkurabita*tasaf=majumba masaki
   
 9. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #9
  Dec 7, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,696
  Likes Received: 385
  Trophy Points: 180
  na MKURABITA ALIONEKANA AMEONGOZANA NA NANI MWITA?
   
 10. Domenia

  Domenia JF-Expert Member

  #10
  Jan 11, 2012
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 462
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sasa Hakuna anae jua...
   
 11. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #11
  Jan 11, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,107
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 0

  Hii ina ukweli 100%
   
 12. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #12
  Jan 11, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 17,329
  Likes Received: 3,587
  Trophy Points: 280
  MKUKUTA + MKURABITA vyote kwa pamoja vimeishia kwenye makaratasi tu, hivi vitu vilikufa hata kabla havijaanza!!!
  Kifupi vyote kwa pamoja ni JANGA LA KITAIFA
   
 13. F

  FUSO JF-Expert Member

  #13
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 10,441
  Likes Received: 846
  Trophy Points: 280
  CCM @ work.

  Kuna hii ya MKULAFILA -- hii ya mzee cameroon -- ha ha ha - kweli TZ ni pa kujifunzia kunyoa.
   
 14. s

  sawabho JF-Expert Member

  #14
  Jan 11, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,378
  Likes Received: 791
  Trophy Points: 280
  Kilimo Kwanza amechukua nafasi yake.
   
 15. K

  Kisoma Member

  #15
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nae KILIMO kwanza anapumulia mashine natural death inamwita!
  hatihati kuvuka twente twelv!!
   
 16. T

  Takayangu Member

  #16
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  poor tanzanian+poor&primitive leaders=kisiwa cha utulivu na amani.
   
 17. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #17
  Jan 11, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,228
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  mkukuta ulitoka mkuku ukatuachia vumbi la kilimo kwanza
   
 18. L

  Lung'wando Member

  #18
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah!! Namkumbuka Mzee Fares Kabuye alipokuwa Mbunge wa TLP ya Mrema Jimbo la kule kwa Magufuli...... Huyu Mzee aliwaponda kishenzi wooote waliopigia debe utumbo huo wa Mkukukukukuta na Mkuraraarraabita na nini sijui.
   
 19. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #19
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,114
  Likes Received: 2,213
  Trophy Points: 280
  Kwani wale jamaa wa king'oko wanaitwa something REPAO inausu poverty eradication program wapo Rejent estate karibu na kikwete vp havihusiani na mkurabita na mkukuta

  1.Mkakati wa kuwanyanganya rasilimali wanyonge na kuwapa matajiri(mkurabita)
  2.Mpango wa kuondoa utajiri na kuongeza umasikini tanzania(mkukuta)
  3.Tanzania Sasa hAina Fedha(TASAF)
   
 20. Domenia

  Domenia JF-Expert Member

  #20
  Jan 11, 2012
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 462
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hii kali na ka ngoma unacho cheza...
   
Loading...