Watanzania Ndio walio ivuruga CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania Ndio walio ivuruga CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Domenia, May 13, 2011.

 1. Domenia

  Domenia JF-Expert Member

  #1
  May 13, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 462
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hongera Rais jakaya kikwete kwa kukubali ndani ya CCM kuna Mafisadi…!!!
  Hatimaye umetoa siku tisini watuumiwa wote watoke ndani ya CCM…
  Japo imekichukuamuda mrefu chama cha mapinduzi kufikia hatua na kutoa maamuzi kama hayo…
  Kwa kifupi msimamo wa chama zidi ya mafisadi haujaeleweka!! Inawezekana siku tisini zilizo to lewa kwa watuhumiwa kujivua hazitakua na effect yeyote!!.je wakikaa kimya?
  Hapo ndipo chama kitachukua hatua ya kuwa fukuza rasmi?..
  Na hapo ndipo siri za wizi zitakapo vuja rasmi…ni hatua nzuri …Lakini matokeo ya kusambaratika kwaCCM isije ikawa ndio kusambaratika kwa TAIFA…

  Mmamuzi ya kesi za ufisadi ni kama serikari ina chukulia mzaha!! Sheria zipo za makosa ya wizi..lakini zinaonekana ziliandaliwa kwa watu masikini…
  Watanzania ndiowalio kivuruga chama cha mapinduzi…Watanzania kuweni makini na matokeo ya kuanguka kwa CCM…
   
Loading...