Nssf...

Domenia

JF-Expert Member
May 26, 2009
462
22
Hii ni kwa Natinal Security Social Fund...

napenda kuchukua nafasi hii kuwapa wazo jingine lenye faida kwenu...
Ina wezekana kabisa asilimia kumi mchango kutoka kwa muajiri ika bakia hivyo hivyo na asilimia kumi kutoka kwa muajiriwa ikawa ni kiwango cha chini cha mchango!!Kutoka kwa muajiriwa..na akawa na iyari ya kuchangia zaidi kwa faida yake!!

mimi ninafikiri asilimia ina weza ika ongezwa zaidi ya hapo endapo mteja atapenda iwe hivyo!!
wapo watakao penda wakatwe hata zaidi ya asilimia ishirini ya mishahara yao!!

NSSF fikirieni kufanya biashara na serikari!! wateja wa NSSF wapate faida kutokana nafedha zao!!

inakuaje fedha zifanyiwe biashara pasipo faida...

Mawazo: NSSF
 
Mmh, jamani! kuwepo na sheria ya kudhibiti hizi Avatar. Tunaweza tukaota usiku, maana sasa mnashindana kuweka madude ya kutisha tu.
 
Mmh, jamani! kuwepo na sheria ya kudhibiti hizi Avatar. Tunaweza tukaota usiku, maana sasa mnashindana kuweka madude ya kutisha tu.

leo umeona yanatisha mbona vingine vinatisha zaidi ya hivyo sema mnavifungia macho mkiwa mnavifata laiti mngaviangalia hii
 
Nakumbukua niliwai kuandika advice moja kwa NSSF hapa. ilinichekesha kunwa watu kama watatu walicooment ohh unajua ukilisema sema hili shirika watu watakufatilia wakuchambue uhalisisia wako from A-Z.

Upande wangu niliona si ni busara zaidi kwa NSSF kujenga nyumba za bei nafuu kwa wafanyakazi na kuziuza au kuzikopesha. Hakuna miji inayovutia wala kupendeza duniani ambayo mtu 1ja 1ja ndo akakuwa mjenzi. Kwa nn NSSF wasitenge bajeti fulani kunega japo nyumba 10 kila mkoa au kila wilaya kila mwaka kwa ajili wa wafanyakazi. May be kwa mikoa mikubwa wakajanega nyumba 20 or 25 kila mwaka.

Iwe huko UK, US na hata mji mzuri unaopendeza africa cape town ni sababu nyumba zinajengwa na mashrika kama haya na watu wanauiziwa au kukopeshwa.

Miradi kama ya majengo ya PPF tower sidhani kama ina tija kwa wachangiaji. Mwisho mfanyakazi anastaafu bado anaishi kwenye nyumba za kupanga na pension yenyewe. mhhhh. Nadhani nyumba/kibanda inaweza kuwa pension bora kwa mfanyakazi
 
Mmh, jamani! kuwepo na sheria ya kudhibiti hizi Avatar. Tunaweza tukaota usiku, maana sasa mnashindana kuweka madude ya kutisha tu.[/QUOTE]

We Dogo Tulia...
 
Back
Top Bottom