MBWAAAAA- Na SI SI JE!!

Domenia

JF-Expert Member
May 26, 2009
462
22
baada ya jambisha- Jambisha!!.....

bab-kubwa ya CCJ...sisi-me ana angaika kushika korodani zake kila mara...halali usingizi....

mara Mbwaaaa....mbwaaaaaaaaaaaaa....

jamani acheni tabia hii mbaya ya kutishiana tishiana......mbona hivyo.. Ukumwaga Ugali nina mwaga Mboga...

ona CCM wanavyo waka wakati hata chama badohakija sajiliwa...

usajiri wa CCJ unatakiwa haraka...CCM Inge onyeaha busara yake kuhakisha kiana sajiriwa...haraka...

CCJ itatufumbua macho...ugomvi wenu sisi tuta jua wapi tulikua tuna danganywa...

gafla hata chama hakija sajilia...kimesha ifunika KAFU FC....

Dhu!!
 
Kaf FC? hahah
.msajili lazima azingue hapa. sema sheik keshamaliza kila kitu. no election this ya.
 
...sisi em kama kweli ni wa wazi basi wafanikishe usajiri wa sisi je? tena tarehe 5 febu this ya[/B][/COLOR][/SIZE]
 
Back
Top Bottom