Search results

  1. T

    Huu upepo muda huu vipi?

    Kuna upepo mkali sana unapiga muda huu,vipi au ndio Mwana wa Adam anakuja nini? mimi nipo Dar maeneo ya Mivumoni Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
  2. T

    Hawa As Vita watapigwa nyingi wasipokuwa makini

    Wameshapigwa moja tayari na wanakimbizwa kinoma, ila mashabiki wa WAC wanashangilia vizuri sana. Mashabiki wa timu zetu wana la kujifunza Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
  3. T

    Kwa wajuvi wa Biblia, ni kweli Mfalme Daudi alipata UKIMWI kutokana na kupenda wanawake ovyo?

    Hongereni na majukumu wanajukwaa. Juzi jumapili nilikuwa nasikiliza mahubiri ya kuhani na muonaji Mwalimu MUSA RICHARD MWACHA, mahubiri yalikuwa yanahusu UKIMWI. Sasa katika mahubiri yale nikamsikia akisema kuwa Mfalme DAUDI nae alipataga HIV (UKIMWI) kutokana na kupenda kwake wanawake hovyo...
  4. T

    Naomba ushauri kuhusu hili tatizo la macho

    Habari wanajukwaa, Nina mama yangu ameanza kupata tatizo la macho tangu juzi, tulimpeleka hospital wakasema macho yameanza kuweka mtoto na anapresha ya macho. Hivyo tumeshauriwa tumnunulie miwani, je kuna yoyote humu ambae ameshawahi kukutana na tatizo hili,na je uliweza kulitibu kwa njia...
  5. T

    Vipimo vya Malaria vinatofautiana? Hospitali kubwa wanasema Mgonjwa hana Malaria, tumeenda Dispensary amekutwa nayo

    Kwanza kabsa hongereni kwa kulijenga Taifa. Mimi nina shida moja ambayo siielewi naomba madokta mnisaidie, kuna hospital moja kubwa tu kila mwanafamilia yangu akienda kupima malaria kwenye hiyo hospital anakutwa hana malaria na wala hana ugonjwa wowote. Wakati mimi kama mtu mzima naona kabsa...
  6. T

    Kuhusu lugha ya Kisumbwa

    Nataka kujifunza lugha ya Kisumbwa, anaeweza anisaidie.
  7. T

    Ukusanyaji wa mapato ni muhimu, nchi hii inabidi tuijenge wenyewe

    Salama wakuu? Natumaini muda si mrefu nchi yetu ya Tanzania ndio itakuwa inaongoza kwa kukusanya mapato duniani, maana mpaka madereva wa malori na Canter za kubeba mizigo wanakamatwa wanaambiwa wawe na mashine za EFD. Nimekutana na jamaa zangu ambao ni madereva wa hizi gari za mizigo wanasema...
  8. T

    Uchaguzi 2020 BBC Swahili wamesema kwenye makubaliano yetu na kampuni ya uchimbaji madini ya Barrick kwenye zile asilimia ni kama tumepigwa

    Wakuu Jana niliangalia BBC Swahili, wamesema kwenye makubaliano yetu na kampuni ya uchimbaji madini ya Barrick kwenye zile asilimia ni kama tumepigwa, hivi hiki chombo cha habari cha mabeberu kinatutafutia nini?
  9. T

    Rushwa ndani ya CCM

    Kuna vitendo vya rushwa vinavyoendelea ndani ya CCM hasa kwenye uteuzi wa wagombea wa serikali za mitaa inasikitisha sana, kuna huu mtaa ninapoishi mimi unaitwa Mtaa wa Muungano kata ya Goba wilaya ya Ubungo. Kuna mwenyekiti ambaye anamaliza muda wake ambaye ni wa CCM na wananchi wanampenda...
  10. T

    Nahitaji drum ya photocopy machine(Kyocera Taskalfa 520i)

    Habari wakuu, Nahitaji drum ya photocopy machine(Kyocera Taskalfa 520i),maana nimeulizia sana kwa mafundi wa photocopy machine naona bei zao ni kubwa sana,kama kuna mtu anamjua dealer wa Kyocera machine kwa hapa Dar naomba anisaidie contact zake,
  11. T

    Msaada wa matengenezo kwenye mashine yangu ya photocopy

    Nina machine ya photocopy IR 3300 saa hii kitu imevunjika kama kuna mwenye nayo naomba aniuzie,maana sipigi copy kabsa bila ya hii kitu,inaitwa paper deck(sina hakika kama ndio jina lake) ila inakaa upande wa kulia ambako karatasi ndio zinatoka kwenye tray zinapita hapa kwenye hii kitu,mafundi...
  12. T

    Msaada

    Madoctor naomba mnisaidie hili,mwanangu jana alikuwa anachemka nikampeleka hospital wakampima wakasem hana homa wala U.T.I nikarudi nae nyumbani,sasa leo asubh akaanza kuchemka tena nikamchukua nikasema ngoja nibadilishe hospital nyingine kumpeleka wamempima wamekuta anamalaria 4,sasa naomba...
  13. T

    Msaada wa dawa au vyakula vinavyofanya mtoto arefuke haraka

    Wakuu heshima kwenu,hii mada nimeileta jukwaani kwa wataalam zaidi,kuna mtu alikuwa anasema kama mtoto ni mfupi na yupo chini ya miaka miwili kuna vyakula au dawa ukimpa anarefuka haraka,je hii ni kweli?
  14. T

    Nataka kufungua Stationery, naomba ushauri

    wakuu nataka kufungua stationery maeneo ya mabibo hostel,kwa wajuzi zaidi wa biashara ya aina hii je maeneo hayo yanaweza kulipa kweli?,tayari nini photocopy machine CANON IR 3300 yenye uwezo wa kuprint,computer na printer vyote ninavyo,kama nitapata ushauri zaidi nitashukuru sana
  15. T

    Kuhusu dawa ya mundende

    Nimesoma gazeti la nipashe la leo kuna makala inahusu dawa za nguvu za kiume. Kuna mtu kaulizwa kuhusu dawa ya mundende kutoka KONGO anasema akiitumia anachukua masaa matatu kupiga bao moja. Je wakuu kuna ukweli wowote kuhusu hili?
  16. T

    Kwa nini kampuni ya tigo hawatumii machine za EFD?

    Juzi nilienda kununua simu pale Tigo, Mlimani City. Sasa cha ajabu, kwenye malipo sikupewa risiti ya EFD machine, nikajaribu kumhoji yule dada anayepokea hela na kutoa risiti akanijibu wao machine hawana. Sasa naomba kuuliza, hizi machine za EFD ni kwa ajili ya wenye maduka ya mitaani tu au...
  17. T

    Huku Mwenge tayari wameshakata umeme muda

    Huu umeme jamani unasumbua sana kwa kweli,kama vipi muhongo atangaze tu mgawo tujue moja,na Maji nayo tegeta DAWASCO wametangaza siku tatu kutakuwa hakuna Maji,sijui nihamie South Sudan?
  18. T

    Msaada kuhusu uume kusinyaa katikati ya tendo

    Hili tatizo limeanza kunitokea siku hizi, yani nikimaliza goli la kwanza basi goli la pili nitakaa sana mpaka uume usimame, sasa nikiwa katikati ya goli la pili uume unasinyaa kabsa,na pia goli la kwanza ndani ya dk 3 tu nimemaliza tayari sasa kama kuna mtu alishawahi kupata tatizo hili...
  19. T

    Mhitimu wa chuo kikuu hawezi kuandika barua ya kazi

    Nimeingia stationery moja nimekuta Dada mmoja anaelekezwa kuandika barua na mwenzake kwenye simu,yani akitajiwa neno ndio anaandika na CV zake zinaonyesha kamaliza chuo!hii ni sahihi kweli?
Back
Top Bottom