Kuhusu dawa ya mundende

Teamanaconda

JF-Expert Member
Jun 21, 2013
602
563
Nimesoma gazeti la nipashe la leo kuna makala inahusu dawa za nguvu za kiume.

Kuna mtu kaulizwa kuhusu dawa ya mundende kutoka KONGO anasema akiitumia anachukua masaa matatu kupiga bao moja.

Je wakuu kuna ukweli wowote kuhusu hili?
 
Ya nini sasa dawa kama hiyo? Hakuna dem anataka mwanaume wa hivo.

kwa kweli nimeshangaa sana,tena jamaa amehojiwa anasema hizo dawa anazitoa CONGO pakti moja ananua sh 30000 akija kuuza huku bongo anapata sh 60000 na haichukui wk mzgo umeisha
 
Madhara ya chipsi mayai:

Wanaume: chipsi maya inaenda kupiga usalama wa taifa

Wanawake: ukipenda sna chipsi mayai basi upende na mimba
 
Nimesoma gazeti la nipashe la leo kuna makala inahusu dawa za nguvu za kiume.

Kuna mtu kaulizwa kuhusu dawa ya mundende kutoka KONGO anasema akiitumia anachukua masaa matatu kupiga bao moja.

Je wakuu kuna ukweli wowote kuhusu hili?
masaa matatu bao moja wakati mechi yenyewe ni dakika 90
 
Sasa sex for pleasure au for disturbances hayo masaa yote ya nini??
 
Wenyewe wana iita “ Vumbi la Mkongo” nina jamaa yangu anapenda sana hizo mambo... na bei yake kweli ni 25 au 30 kama jamaa alivyo sema.

Nili cheka sana jamaa yangu alivyo kua ana nipa maelezo ya hili vumbi..

Unachukua maji kidogo una paka kwenye kichwa cha uume au unaweza kuoga vyovyote cha msingi kichwa cha “chabhunene” kiwe kinyevunyevu una chukua vumbi lako kidogo una paka juu ya kichwa tu alafu una subiri kama dakika 5 , 10 hivi. Then una futa coz vumbi lita kua limeisha kauka juu ya kichwa tayari una aambiwa nikama poda tu inavyo pakwa.

Baada ya hizo dakika kuna ka ubaridi eti utakua una kasikia kwa mbali eti ndio ina fanya kazi sasa hapo...

Ila uume hau simami unakua upo normal kabisa na wewe unakua upo normal ..

Jamaa bana ana utumia kumchapia wife wa mtu huko. Mwanamke ni ana mpenda huyu boya angejua huwa ana paka hako kavumbi hahaha.

Na Jamaa ana kwambia anaweza asi pizi kabisa mpaka ana maliza tendo.. huenda aka pizi siku nyingine aki kutana nae au aki kutana na mtu mwingine... kazi kweli kweli.

Trust me hili vumbi Dar lime tapakaa mno! Sie tunao tuko mkoani tuki fika Dar tuna pewa hizi story za vumbi la mkongo una baki una shangaa mbona kule kwetu “Nanjilinji au Ludewa “ haya mambo hamna huku kwenu ina kuaje?
..
 
Hahahaha 🤣🤣🤣....job true true.
 
Back
Top Bottom