Huu upepo muda huu vipi?

Ni mvua mpwa, kwa waliooa ndio wanafaidi sasa muda huu. Huku nilipo inanyesha
 
Njoo luxury hapa tunywe k-vant. Au unataka tuende lagos, contena, montana, bm, bwamani, rich park, copa cabana, migombani, kb, brazil, kibo, au tule kitimoto hapo kwa makaa?
Duuh vituo hivi vinahusiana na nini mkuu ?
 
Mivumoni --- isijekuwa neno hili lilitoholewa kutoka kitu kivumacho (mivumo - upepo?)

kibiblia baada ya mivumo mingi huja sauti angavu yenye maelekezo ...... je uliisikia?
 
Back
Top Bottom