Msaada wa matengenezo kwenye mashine yangu ya photocopy

Teamanaconda

JF-Expert Member
Jun 21, 2013
602
563
Nina machine ya photocopy IR 3300 saa hii kitu imevunjika kama kuna mwenye nayo naomba aniuzie,maana sipigi copy kabsa bila ya hii kitu,inaitwa paper deck(sina hakika kama ndio jina lake) ila inakaa upande wa kulia ambako karatasi ndio zinatoka kwenye tray zinapita hapa kwenye hii kitu,mafundi wa photocopy nadhani mtakuwa mnaijua,
IMG-20181230-WA0003.jpeg
IMG-20181230-WA0002.jpeg
IMG-20181230-WA0001.jpeg
IMG-20181230-WA0000.jpeg
IMG_20181227_125021.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom