Nahitaji drum ya photocopy machine(Kyocera Taskalfa 520i)

Teamanaconda

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2013
Posts
602
Reaction score
569
Habari wakuu,

Nahitaji drum ya photocopy machine(Kyocera Taskalfa 520i),maana nimeulizia sana kwa mafundi wa photocopy machine naona bei zao ni kubwa sana,kama kuna mtu anamjua dealer wa Kyocera machine kwa hapa Dar naomba anisaidie contact zake,
 
Hakuna Drum cylinders ni DRUM UNIT au Maintenance kit tu huwezi pata clynder kbs
Bei 1,7 kama unaogopa bei bei ndio hizo
 
Back
Top Bottom