Search results

  1. Jethro

    Tatizo la umeme Arusha imekuwa kero

    Wana JF na wananchi wote, Hapa Arusha kumekuwa na tatizo la umeme tokea mwaka jana 2015 esp tokea kipindi cha kampeni mpaka sasa Umeme umekuwa shida na wala hakuna maelezo yoyote au taarifa yoyote kutoka Office za TANESCO Mkoa au Makao makuu Dar kutujurisha kinachoendelea na kwanini umeme...
  2. Jethro

    Tra kutoza kodi kubwa bandari dar-es-salaam kwa manufaaa ya nani???

    Wana JF, Tanzania yetu hii jamani ina mambo, Tokea Majuzi kumekuwa na kasheshe la kufumuka kwa tozo la kodi hapo bandari dar-es-salaam, Kwa wafanya biashara wengi wamekuwa wakilia sana esp wale wa kariakaoo na kwingineko. Twashindwa kuwaelewa Tatizo kubwa ni nini hapo bandari je ni ugonvi wa...
  3. Jethro

    Mwanamke aki achika huwa anafikiria nini????

    Wana JF, Kuna kisa kimoja ambacho ni issue live mwanamke kaachana na Mumewe na kurudi kwao na kupangisha chumba chake ila hakai hapo ni anakaa kwao na kisa kagundua Mumewe ana Mwanamke mweingine alie funga nae ndoa kwa siri na ana mtoto mkubwa pia. Kipindi cha matatizo yake yeye na mumewe...
  4. Jethro

    Mjumbe mmoja wa NEC CCM from Arusha alinitamkia haya!!

    Wana JF, Inafika mahali mtu unajiuliza maendeleo ya nchi huja kwa vyama vya kisiasa au ni serikali na wananchi ndio washilikianapo huleta maendeleo yao kwa manufaa yao na kujenga Taifa lao? Sasa Majuzi Ndugu Mbunge LEMA alikuwa akipokelewa hapa Arusha kweli ilikuwa shamla shamla kweli kwa mtu...
  5. Jethro

    Taifa cup basketball-tbf- ni wizi au hamkujiandaaaaa- tannga

    Wana JF, habari mpaka tulizo zipata kutoka tanga ambako mashindano ya Taifa Cup Basketball yaliyoanza leo jioni huko Tanga yame reta taflani kubwa tuuu, na mmoja katika yote ni kutokuwa na malazi ya wachezaji walio toka mikoani wamerundikwa sehemu mmoja ka UMISETA chakula mpaka sasa team nyingi...
  6. Jethro

    Taifa cup basketball ni wizi au hamkujiandaaaaa- tannga

    Wana JF, habari mpaka tulizo zipata kutoka tanga ambako mashindano ya Taifa Cup Basketball yaliyoanza leo jioni huko Tanga yame reta taflani kubwa tuuu, na mmoja katika yote ni kutokuwa na malazi ya wachezaji walio toka mikoani wamerundikwa sehemu mmoja ka UMISETA chakula mpaka sasa team nyingi...
  7. Jethro

    Maeneo ya cet garden karibu na kwa mrefu -arusha kimewaka moto

    Wana JF, Huku Arusha ukiwa wapita Ngulelo karibu na Cet Garden Bar, Hali ya hewa imechafuka kabisa. Hii ni kutokana na kuachiwa huru kwa Mtuhumiwa kwa kesi ya Mauaji. Mtuhumiwa ni Remini Ni Fundi magari na ana Garage yake kule sakina. Inasemekana alimpiga shaba mtu na huyo marehemu hajazikwa...
  8. Jethro

    Chengi ya rada kulikoni na ahadi ya elimu

    Wana JF, Napenda kuja na hoja hii ya CHANGI YA RADA na KUHAIDIWA KUWA ITATUMIKIKA KUBORESHA MAHITAJI YETU KATIKA ELIMU E.S.P VITABU Waziri mkuu pinda alitetea Bungeni hoja ya changi ya rada kupelekwa Elimu na wakasisitiza kabisa itakuwa kwa ajili ya kuchapisha vitabu. Cha kustahajabisha sana...
  9. Jethro

    Police na ulinzi wao wa usiku umepotelea wapi- arusha!!!!!?????

    Wana JF, kumekuwa na wimbi kubwa la uvamizi katika nyumba za raia wengi hapa Arusha, Wezi hawa wanakuja kwa makundi makubwa kama watu 30 wanavamia nyumba kadhaaaa wanakomba vitu na wanapakia kwa Kenta na wanasepa. Last 2 week huko ngulelo rafiki yangu na majirani wenzake walivamiwa na kundi la...
  10. Jethro

    Kwako ephrahim kibonde katika jahazi radio- clouds fm

    Wana JF, Napenda Kumweleza kibonde mambo machache tuuu esp katika sakata la wabunge wa zanzibar kutoka nje ya Bunge. kwa maoni yake kibonde alivyo kuwa akijadiri baada ya wabunge kupata habari ya kuwa Meri Imezama. Kibonde ulisema ati kuwa wabunge walio toka Bungeni walikuwa na "UTOVU WA...
  11. Jethro

    Spika Anne Makinda, something is wrong...

    Wana JF, Leo Jioni kutoka BUNGENI Speaker ANNA MAKINDA katika hitimisho lake akiwaambia wabunge kuwa wasipende sana kuwatajka watu wakati wakichangia hoja zao na akadai kuna mashitaka mengi sana toka humo bungeni na nje ya bunge yako kwa kamati ya maadili, Alipo niacha hoi sana ni pale alipo...
  12. Jethro

    Hoja ya nchi kujitenga si ya leo ni ya muda mrefu huko nyuma

    Wana JF, Kwa kuwajulisha tuu kiufupi haya yote yanayo tokea sasa ni matokeo ya Uongozi wetu tokea huko nyuma hadi hapa tulipo fika kama uongozi ungekuwa bora , siasa zinge kuwa safi haya mambo yange kuwa ni tofauti. Nakuja kwa hoja yangu, Mnamo miaka ya mwisho wa 1980's kuja kwa mwanzoni mwa...
  13. Jethro

    Wajumbe 3 UVCCM Arusha kuhojiwa na ITV, TBC 1

    Waja JF, Wajumbe watatu wa UVCCM arusha wakiongozwa na Aliye kuwa M/Kiti wa UVCCM (wilaya ya arusha mjini) zamani bwana Bananga na Mjumbe wa UVCCM arusha Mjini na Mjumbe wa UVCCM Arumeru, Majira haya wana hojiwa na vyombo hivyo vya habari kuhusiana na mambo au changamoto zima la viongozi wengi...
  14. Jethro

    Arusha hapatoshi ghafla

    Wana JF, Hapa arusha leo takribani ni dakika ishirini zimepita raia wengi wakitokea Mshono chini wakielekea office ya mkuu wa mkoa ni sakata la aridhi Kati ya Raia na Wanajeshi(JWTZ) Huko Mshono eneo la Mlangalini na Kiselia. Nime pata nafasi ya kuongea na mtu mmoja kati ya hao wanao andamana...
  15. Jethro

    Hasheem thabeet anatatizo gani kukaa bench (houston rokects)- nba

    Wana JF. Nimekuwa nikijiuliza sana kwini kuna tatizo gani kwa huyu bwana mdogo toka aingie NBA mwaka 2009 alikuwa 2nd pick overall na Memphis Grizzlies na sasa yuko Houston Rockets performance yake ina utata sana kwa sie tunao fuatilia sana mchezo huo wa Basketball (NBA) sielewi ni kale...
  16. Jethro

    CCtv za ma bank yetu humu nchini hazitunzi picha

    Wana JF, Katika safari zangu huko kasikazini mwa tanzania na huku kanda ya ziwa nilikuja kutana na matatizo katika Bank zetu hizi na nikagundua kwa silimia fulani hizo camera walizo zifunga ndani ya ma Bank zina urakini wa ku record data au niseme "daily activities " Kwa wengeine wanaweza...
  17. Jethro

    Show ya Fally Ipupa @ matongee Club - Arusha ni aibu tupu

    Wana JF, Niko ndani ya Jiji la Arusha ila makubwa nimeyakuta hapa Jamani wandugu, kilichotekea huku Matongee Club Arusha Jana Usiku ni aibu tuuuupu kweli kwani Jana Fally Ipupa alipaswa kutumbuiza wana Arusha, Kiinglio Front Seats a.k.a VIP = 30,000/=Tsh and Back Seats = 15,000/=Tsh Cha...
  18. Jethro

    Wafuasi wa CHADEMA wafikishwa mahakamani - Arusha

    Wana JF, Kwa Mujibu wa Mwana harakati aliyeko arusha kani juza kuwa wale wanachama wa CHADEMA waliokamatwa na Police Mtaa wa DECEMBER jana mchana wakiwa kwenye shughuli zao bianafsi na kuswekwa rumande(Police) kwa sasa wako mahakamani. NB; Na yasemekana M/Kiti wa BAVICHA hayomo kwenye kundi...
  19. Jethro

    Salim Ally tajiri Arusha anashangaza watanzania

    Wana JF, Jana katika kipindi cha njia panda - Radio Clouds FM kulikuwa na mjadala ambao ulianza tokea week iliyo pita kuhusu vijana wanao pelekwa nchi za kiarabu kufanya kazi na kujikuta kunyanyaswa na kupata mateso na kuwabidi kurudi tanzania kwa shida sana Kwenda kwa hawa watu huko nchi za...
  20. Jethro

    Harusi ya Nape week ijayo Dar es salaam

    Wana JF, Kwa taaarifa sahiii kutoka kwenye chanzo chetu kutoka huko Arusha kuwa Nape Nnauye Katibu Muenezi CCM kupata jiko lake week ijayo, Habari zinasema kuwa leo katika Mji wa Arusha katika viwanja vya General Tyre kunafanyika Send off(Party) na Bibi harusi mtarajiwa kwa jina ni Mary...
Back
Top Bottom