Kwako ephrahim kibonde katika jahazi radio- clouds fm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwako ephrahim kibonde katika jahazi radio- clouds fm

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jethro, Jul 20, 2012.

 1. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Wana JF,
  Napenda Kumweleza kibonde mambo machache tuuu esp katika sakata la wabunge wa zanzibar kutoka nje ya Bunge. kwa maoni yake kibonde alivyo kuwa akijadiri baada ya wabunge kupata habari ya kuwa Meri Imezama.
  Kibonde ulisema ati kuwa wabunge walio toka Bungeni walikuwa na "UTOVU WA NIDHAMU"
  Kibonde ulipaswa kutambua kwanza wabunge wale sio wajinga au mambumbumbu. Mi ntakueleza hoja zangu. Kuzama kwa meri kulisikika kwa vyanzo vya habari vingini kuanzia saa 7 mchana, Nchi yetu hiii ina wizara kwanza moja ni nyeti sana Wizara ya mambo ya ndani (na inavitengo vyake vingi tuuuu police, JKT, Usalama nakadharika) pia kuna wizara ya uchukuzi na mawasiliano. na hizi wizara zina kazi zake muhimu za kuwajibika sana katika kulihudumia taifa hili.
  Juzi Meri imezama mchana Taarifa za kwanza kabisa zapaswa kutoka wapi katika serikali hiiii? kama sio wizara hizi mbili mambo ya ndani na uchukuzi?

  Point yangu ni nini:- Bungeni wabunge wamezipata taarifa mapema kama tetesi mwanzo ila kwa namna flani wao wakawa wameisha pata full details kuwa tukio ni harisi na sio tetesi tena. Na kumbuka hizi wizara mbili zenyewe zilikuwa kimya either makusudi au hazikuwa na taarifa kabisaaaaaa yaani kwangu nasema wana poor communication 100%, wizara ya mambo ya ndani means (ULINZI NA USALAMA) ni wizara nyeti sana katika kila Taifa duniani. sasa kama wabunge walipata taarifa na waziri husika yupo ndani ya bunge hajui au amekaidi tuu huoni hapo ni uzembe mkubwa ndani ya nchi hata ndani ya bunge? Au ni mpaka wabunge watoke nje ndio serikali ishtukeeeee kweli??? Hapo ni nani ana utovu wa nidhamu? Wabunge walio toka Nje? Wizara husika? Ni Muda gani ulipaswa hizi wizara mbili kujua kuwa chombo kimezama baharini?? na Taifa kujulishwa kuwa tume patwa na tatizo hiliii na lina fanyiwa kazi. Na hiyo hali ya kuwepo mawasiliano mabovu hadi wabunge wanaingia bungeni ile Jioni wengine hawajui kilichokuwa kimetokea hiyo ni aibu kubwa sana. Karibuni kwa kuchangia hoja wana JF

  My Take:
  Watangazaji mkiwapo hewani jaribuni sana kuchambua POSITIVE and NEGATIVE kwa topic husika msilalie upande mmoja tuuu, Bunge kama muhumili mkuu wa nchi ulipaswa kupata taarifa mapema sana at least 2hrs after the terrible incidence.
  Na hakuna kitu kama Chain of Command ndani ya serikali hiiiii utaratibu huo watauwezea wapi waache kupiga siasa na ma deal yao ya kuwarubuni watanzania. Hizi life jackets zinauzwa bei juu kweli wakati zilipaswa uzwa bei rahisi sana ili watu wasiwe na tamaa ya kuziiba, wakuta zafungiwa kwa makufuli makubwa ya ajabu na minyororo khaaaaaa.
   
 2. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,017
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  kibonde ni lkilaza mkubwa,hakuna haja ya kumsikiliza...binasfi nsha idelete clouds fm kwenye station nnazosikiliza....ile ni wafuuuu fmmm
   
 3. m

  mwimbule JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 485
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Huyu jamaa anakulupuka sana mambo mazito ya kitaifa anayazungumza bila fikra sahihi. kUNA HAJA YA KUJIANGALIA UPYA.
   
 4. L

  Luluka JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Huyu mnampaisha tu hapa!achaneni nae!hapa tukiendelea kumjadili mwishowe akili zetu zitafanana nae bure!
   
 5. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2012
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  huyu kibonde IQ yake ndipo ilipo fikia, hata mumsemeje hawezi badilika naona tunaboteza nguvu nyingi sana kila siku kumrekebisha but hawezikurekebishika ni kumwaacha hivyo alivyo ila namwonea huruma sana kwa jinsi alivyokuwa anawaponda wabunge kutoka visiwani sijui kama atakaa aje aende tena kule maana wakazi wa kule ni watu wa visasi hawakawii kumfanyizia akitia mguu zanzibar ama pemba ajihadhari sana
   
 6. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  huyo ndio kibonde na kama jina lake linavyo jieleza kibondeeeeeeeeeee
   
 7. yakowazi

  yakowazi JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 1,170
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 180
  Je niyule kibone wa jahazi la claud naskia juzikati kasema ndoa yakenamkewe imetimiza miaka 54 na hili la wabunge wa upinzani kutoka bungeni alijua wanasusi harusi yake huyo kachakachua claud hatuna hamu na hiyo redio
   
 8. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #8
  Jul 20, 2012
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Kibonde amekuwa kama Speaker wa bunge Anna makinda wao ni kuitetea CCM, Serikali na hoja zake tuuu siku zote ukimsikia kwa radio yuko Government side na huwaa ana watu wake wa kuwabeba na asio wabeba ndani ya CCM na serikali mind set yake ni kuona wanao ikosoa serikali hawafai.

  Kwanza nchi hii muhimili mkuu kati ya mitatu umebakia ni mmoja tuu ambao ni serikali maana Bunge liko kuitetea serikali na mahakama nayo ipo kuitetea serikali tuuu
   
 9. S

  SUWI JF-Expert Member

  #9
  Jul 20, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Ndo maana 50CENT aliita radio ya kis..ng..
  Nadhani hata wenzake hawakufurahishwa maana kuna mmoja alimkatisha akamwambia tutajadili kulingana na maoni ya wasikilizaji!!!! Wanaume wasio na ndevu bana... !!!!!!!!!:eek2:
   
 10. kbosho

  kbosho JF-Expert Member

  #10
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 4, 2012
  Messages: 12,505
  Likes Received: 3,314
  Trophy Points: 280
  huyu jamaa hamnazo....pole yake na umaskin wake wa kufkr...af bwana nape anawaarbu sana vjana...na vjcent vyake vya propaganda
   
 11. A

  AZIMIO Senior Member

  #11
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 188
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mimi pia nilisikiliza ule mjadala kwa kifupi kibonde huwa anaonekana moja kwa moja yuko upande upi,ila Kayanda alimbana vizuri sana kwa kumwambia inakuwaje wanaingia bungeni tena jion bila kuwa na taarifa na ajali ilitokea tangu mchana?
  ni kweli kuna udhaifu mkubwa sana wa mawasiliano kati wizara husika,Nawapongeeza wabunge waliotka nje kuonyesha kuguswa na tatizo lile.
   
 12. N

  Nansawa Senior Member

  #12
  Jul 20, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hilo la ndevu nalo neno.
   
 13. K

  Kimbito nyama Senior Member

  #13
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Labda Wadudu wamepanda kichwani
   
 14. A

  Andrew nerei Member

  #14
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jaman hbu 2jadil tatizo la kuchelewa kwa taarifa ya ajal tang sa 7 mpka 11jion naona mnamsema kibonde 2 haisaidii k2 hapa ishu ni vip taarifa zichelewe kufika wakat kuna wizara husika?2siangalie upand mmoja kama mtoa mada alivyosema.mchana mwema
   
 15. manuu

  manuu JF-Expert Member

  #15
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 4,063
  Likes Received: 9,673
  Trophy Points: 280
  Clouds TV na Clouds radio wanadeal sana na under 18,
  I will be surprised if you are above 18 and you are watching and listening the clouds.
  To me mhmhmmhmhmhmhm.
   
 16. stineriga

  stineriga JF-Expert Member

  #16
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 2,033
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  The man will never change,
   
 17. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #17
  Jul 20, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,764
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  mmenikumbusha nape!
   
 18. K

  KABALE Member

  #18
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 98
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Hey you people...nadhani hamjawahi kumuelewa Kibonde.. Anataka asikike kama mchambuzi wa mambo ya kitaifa na kimataifa.... hilo ndilo analofanya siku zote.

  Lakini amesahau kuwa sifa za kuwa mchambuzi mahili/ mweledi katika chombo cha habari hana NA inaelekea hatakaa awe nazo hizo sifa. So, msipoteze muda wenu kumleta na kumjadili. To me he is non issue.

  Katika nchi ambazo zinaheshimu taaluma kweli kweli.. that '' boy'' alitakiwa aishie kuwa dj wa radio. Lakini wamiliki wa radio station yake ndiyo wamemuona anawafaa....
  Kwa ujumla ni hayo ndiyo matunda halisi ya mfumo DHAIFU.

  My take

  Ukilinganisha Tanzania na Kenya...kwa viwango vya uandishi wa habari hapa bongo kuna safari ndefu. Hata wasikilizaji, wasomaji na watazamaji kwa ujumla Tz wana matatizo ya viwango vya mahitaji yao. Uduni wake u-accomodatate akina'' Kibonde''.. Our society bado iko underdeveloped sana. Zaidi sana tunajifanya kujua kumbe hatujui.


  :smile:
   
 19. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #19
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  mpuuzi tu ndio upeo wake ulipofikia.
   
 20. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #20
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  mi nadhani humu ndani magreat thinkers wameisha kabisaa.haiwezekani kila siku iendayo kwa mungu nyie ni kibonde tu ina maana ishu zmeisha.we ni nan kakulazimisha usikilize clouds.kila siku mnalalamika bado unafungua masikio yenu kusikiliza tu.acheni ulimbukeni.ina maana we uliyetoa hii thread hujaona aibu kabisaaa.jamaa mnamfanya awe superster kishenzi
   
Loading...