Jethro
JF-Expert Member
- Mar 23, 2009
- 2,219
- 370
Wana JF,
Leo Jioni kutoka BUNGENI Speaker ANNA MAKINDA katika hitimisho lake akiwaambia wabunge kuwa wasipende sana kuwatajka watu wakati wakichangia hoja zao na akadai kuna mashitaka mengi sana toka humo bungeni na nje ya bunge yako kwa kamati ya maadili,
Alipo niacha hoi sana ni pale alipo sema ati wabunge wengine esp wale walio kuwa wakitaja majina ya watu ati hawatoi hata hoja "ati hawa wabunge wana wataja watu tuu hata hoja zao hatuzionii"
Nachukulia mfano mbunge wa Viti maalumu CHADEMA wa wisho kuongea alitaja wavuvi wa ziwa Tanganyika kuwa hawana usalama mzuri wanapo enda kuvu kuwa hakuna vyombo vya kulinda majini kwa kuwa ziwa hilo pia lina tumika na nchini jirani kama DRC Congo,Burundi na kuna uharamia wa hatari watu wana tekwa, Mbali na hilo mbunge huyo akasifia kazi nzuri ya Police Mkoa wa Dodoma.
Sasa sielewi Speaker anapo amka na kusema haoni hoja zinazo tolewa esp anaonyesha kabisa kuwa haipendi upinzani inapo toa hoja na kichwani kwake amejiwekea mind set kuwa upinzani always wao hoja zao ni za fujo tuuu.
Je nasi huku raia tukija na kusema speaker anna makinda huchukulia hoja za upinzani kama ni fujo na mzaha na anadhika juu ya hoja za upinzani?
My Take:
Imefika wakati Speaker wa Bunge Anna Makinda kupigia mistari maneno yake anayo lopoka humo ndani ya bunge na kama anakuwa off mood basi asiwe anaingia bungeni.
Wana JF: Ati tuna sema Nchi yetu ina mihimili 3 Serikali , Mahakama na Bunge kwa hali hii inavyoendelea kwa kutizama tuu kwa upeo wa macho kwa fikra hizi tulizo nazo tuu haiitaji uwe na Bachelor of Law toka UDSM,Mzumbe,UDOM ukweli ni kwamba muhimili ni Serikali tuu hivi vingine vitatu vipo tuu kiitetea serikali kila kukicha wabunge wanaitetea serikali mahakama wanaitetea serikali serikali inajitetea yenyewe hapo kuna kitu kweli?