Jethro
JF-Expert Member
- Mar 23, 2009
- 2,219
- 370
Wana JF,
Hapa arusha leo takribani ni dakika ishirini zimepita raia wengi wakitokea Mshono chini wakielekea office ya mkuu wa mkoa ni sakata la aridhi Kati ya Raia na Wanajeshi(JWTZ) Huko Mshono eneo la Mlangalini na Kiselia.
Nime pata nafasi ya kuongea na mtu mmoja kati ya hao wanao andamana akaniambia ni kule kulipo kuwa kiwanda cha Tanganyika Packers Baada ta Jeshi kuchukuwa eneo hilo basi waka chotaa na maeneo jirani ya raia, Kasi hii ilirushwa majuzi na ITV. Leo raia wameelekea kumwona mkuu wa mkoa kuhusu hii issue ya Aridhi.
My Take;
Migogoro mingi ya aridhi ndani ya nchi yetu hujaa kwa ajiri ya mikakati mibovu ya mipango miji ndani ya nchi yetu ufanisi mbovu wa idara husika esp Idara ya Aridhi hapa nchini. sasa angalia hili lililotoke hapa arusha sasa Raia na wanajeshi serikali ina la kusema hapo?
Nchi hii kwa kweli tunako kwenda sasa kuna kuwa siko na ni hatari sielewi kwani Kambi hizi za Jeshi zisiboreshwe kwa kukuzwa kwa kuhamishwa maeneo ya kuwa karibu na rai na wakae mbali kama kule munduli