Police na ulinzi wao wa usiku umepotelea wapi- arusha!!!!!????? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Police na ulinzi wao wa usiku umepotelea wapi- arusha!!!!!?????

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Jethro, Aug 6, 2012.

 1. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2012
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Wana JF,

  kumekuwa na wimbi kubwa la uvamizi katika nyumba za raia wengi hapa Arusha, Wezi hawa wanakuja kwa makundi makubwa kama watu 30 wanavamia nyumba kadhaaaa wanakomba vitu na wanapakia kwa Kenta na wanasepa.

  Last 2 week huko ngulelo rafiki yangu na majirani wenzake walivamiwa na kundi la watu 30 waka iba vitu na wakasepa. Leo napo kumetokea matukio mengi huko Kijenge.

  Nachokiwakilisha hapa ni kuwa siku hizi hatuzioni zile voda fasta za police yani pikipiki zao wanazotumia kwa ku patrol usiku huku mitaani kwetu na hata zile One Ten za Police zinazo park Phillips, Kijenge , Frence Corna, Mianzini hazionekani tena, tuanacho kiona tuu ni yale ma Land cruser mkonge yanazunguka ile jioni na wakikuta ume park mahali police wanashuka kama nzige na wana ku sumbua ni aje na wanaweza hata kukuwekea bangi au madawa ya kulevya ili wakupe kesi hili ninalo ushahidi nalo kabisaaa kwani walimfanyia rafiki yangu bahati nzuri alikuwa ananguvu ya wakubwa juuu na walishangaa order inakuja toa hao haraka sana. na rafiki yangu akaniambia wale jamaaa wakikukamata usiku usiombe, sasa kwa raia wa kawaida wanakufanyia hivi ila kwa wezi wala hawasumbuki nao kabisaa na kwa matukio wao hawapo kabisa wapo kutafuta pesa tuuuu kwa kunyanyasa raia wema.

  Huko mikoani nako sijui kama je Police wetu hawa wa kulinda usiku wapo kweli au ilikuwa ni kanya boya mradi wa mtu ulipitishwa wa pikipiki nini?
   
 2. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Kwenye mikutano ya Chadema utaona jeshi la polisi lote lazima lifanye kazi ya ziada!
   
 3. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2012
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  hahahahahahahahahaha

  KWELI KABISAAAAA

  Police wanavuma tuu kwa hiyo mikutano ila kwenye ulinzi as kazi yaoooo hawapo kabisaaaa siku hizi ni Pesa mbele na Trafic ndio usiseme kila kona wana simamisha tu magari hovyo hovyo na kuomba pesa
   
 4. Inno laka

  Inno laka JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 1,592
  Likes Received: 449
  Trophy Points: 180
  polisi washachoka kila m2 anachukua chake mapema kwan chakufia nn?
   
Loading...