Mwanamke aki achika huwa anafikiria nini????

Mwanamke aki achika huwa anafikiria nini????

Jethro

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2009
Posts
2,219
Reaction score
371
Wana JF,

Kuna kisa kimoja ambacho ni issue live mwanamke kaachana na Mumewe na kurudi kwao na kupangisha chumba chake ila hakai hapo ni anakaa kwao na kisa kagundua Mumewe ana Mwanamke mweingine alie funga nae ndoa kwa siri na ana mtoto mkubwa pia.

Kipindi cha matatizo yake yeye na mumewe kumbe pia alipata kijana tu nae anafamilia yake akawa anamuliwaza vyema tu ila ghafla huyu mwanamke alie achika akawa na strees nyingi sana kiasi mara analalamika maisha yake yatakuwaje. na akawa na desturi yakila mara akimaliza shughuli zake anakutana na watu akidai ana deal nao na huchelewa kurudi kwao anarudi sa 4 usiku mara kwa mara sasa huyu kijana aliye nae anae muliwaza huwa anamuuliza kulikoni huko unakoenda kwa deals zako mbona siku hizi huniambii kinaga ubaga ni nani huyo anae kusaidia anaanza kuwa mkali na kudai ati huyo kijana anae muliwaza analalamika sana sasa huyu kijana anashangaaa wako na huyu dada kwa muda mrefu sasa. iweje ameanza kuchange ghafla na kuwa na sababu nyingi kila ukimuuliza huyo mwanamke asisngizia oooh maisha yangu siunaona yalivyo.

Sasa hapo unamwelewaje mtu huyo?

Mie nilimshauri jamaa yangu nikamwambia huyo mwanamke kuwa nae makini sana either atakuja kukuharibia ndoa yako ni anatapatapa hajui wapi pa kushika maana kwako anajua hatopata msaaada mkubwa autakao anajua kumsaidia lipa kodi ya nyumba ambayo hakai na anakaa kwao ndio unaweza labda ndiko mwakutanga huko ila uwezo wa kumpa Pesa mingi awe na bishara nzuri au gari aweze kulingana na wanawake wengine walio achana na waume zao kwa kisingizio sawa hata kama mumeo alizaa nje au kaoa mke mwingine. na anataka ajionyeshee kuwa anajiweza kumbe anabebwa na mijitu yenye uwezo yet hao hao wanaume wenyeuwezo ni bado pia ni waume za watu kwani at this age huwezi pata kijana akuoe mwanamke una watoto. huo ndio ulikuwa ushauri kwa best yangu.

Sijui nyie wana JF esp wakina dada au wakina mama mnao jua ni kitugani huyu mwamanamke anachokifanya kwa siri au huwa ni nini anataka au anatafuta nini?
 
Kila mtu na mawazo yake na anavyo ichukulia Talaka au kutengana kwa mda, ningekua mimi ningetuliza kwanza nikatafakari
kwani unapokua kwenye matatizo kama hayo busara inahitajika sanaaa. na huyo rafiki yako mwambie atulie na mkewe kwa
sasa hapendwi anafanywa pumbazio tuu na angekua anapendwa kweli basi huko kwenye deal angechukuliwa..Babu Jinga Inama Ufikiri..
 
tatizo watu wanchanganya mapenzi na ndoa. mi hata nikimfuma huzband mara 1000000 ndoa itaendelea tu maana kuna watoto na mengineyo, tutaishi kishkaji tu maana si lazima ku-do bana! ila cha msingi sote tujue kuwa wazazi wazuri kwa watoto na kila mtu apate raha nje.

pia, si kweli kwamba mwanamke akiwa na watoto hawezi olewa.
 
huyo kijana
anapaswa awe nae
karibu,huyo dada
yupo comfused ujue
anaweza jidhuru kivyovyote!
kusalitiwa kunauma atiii!
aende nae mdogomdogo mpaka
akae sawa na kila kitu kitakua kama
awali!amuulize taratibu kinachomtatiza!

 
Back
Top Bottom