Show ya Fally Ipupa @ matongee Club - Arusha ni aibu tupu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Show ya Fally Ipupa @ matongee Club - Arusha ni aibu tupu

Discussion in 'Entertainment' started by Jethro, Dec 10, 2011.

 1. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #1
  Dec 10, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Wana JF,

  Niko ndani ya Jiji la Arusha ila makubwa nimeyakuta hapa

  Jamani wandugu, kilichotekea huku Matongee Club Arusha Jana Usiku ni aibu tuuuupu kweli kwani Jana Fally Ipupa alipaswa kutumbuiza wana Arusha,

  Kiinglio Front Seats a.k.a VIP = 30,000/=Tsh and Back Seats = 15,000/=Tsh

  Cha ajabu kuanzia watu wameingia saa 3 usiku kulifahamika kuwa kuna tatizo la Umeme wa TANESCO hautoshi sukuma Music system zilizopo kwenye stage na Generator ikawa ni kimeo, ikawa haiwezi fua umeme wa kutosha; kila ikiwaka na baada ya 10mins inakata hali hiyo ya kutopatikana kwa nishati ya umeme kusukuma mitambo ya muziki ilifika hadi saa 6 usiku na ndipo hapo watu wakachoka na uvumilivu ukawashinda.

  Jasmine alikuwa akihangaika sana kuhakikisha kila kitu kinakwenda sawa pamoja na kutoka kwenda kutafuta Generator jingine huku nyuma watu wakajichukulia maamuzi yao binafsi wengi wao walibeba viti kila mtu aliye beba viti una mkuta anaviti 5 hadi 6 sio tu vya plastic (@ per sale ni 8000/=Tsh na vilikuwa ni viti 200) hata vile vya conference seat (@ per sale ni 30,000/=Tsh na vilikuwa kama viti 30) watu walibeba na kujiwekea kwenye magari yao na wale ambao hawakuambulia kitu imekula kwao, pia hakukuwa na mtu wa kuwazui hata police walikuwepo
  (Ndani na LandRove 110 Nyeupe) na hawakufanya chochote kwani waaandaaji walikuwa ni matapeli hawakujipanga.

  Na viti vyote vilikwenda na pale getini wale watoza pesa ati walisema waliporwa pesa kumbe wao ndio walio zichimbia pesa mifukoni.

  NB;

  Je, Office zinazo husika za serikali kwa kutoa kibali ili show kama hizo kupigwa huchukulia vipi swala kama hili kuwawajibisha wale waandaaaji na wadhamini wa show kama kutatokea tatizo kama hilo lililojitokeza hapa Arusha?

  My Take;

  Hawa waandaaji kwanza watambue nini maana ya kuandaaa show za band

  Wakisha andaaa wanatakiwa kujua vitu gani ni muhimu kwanza katika show vinatakiwa visipate matatizo na kuwa na plan B. Utangazaji wa Show kwa raia kwani hii ya fally Ipupa wengi walishtukizwa tu one day before.

  Bifu za mapromotor zisiwepo kwani jana pia kulikuwa na wananmuziki toka Dar na Nairobi wakipiga show Tripple A; kwanini nasema hivyo, kwani kulizuka neno kuwa kulifanyika hujuma generator kutotengenezwa ili kutofanikisha show ya Fally ili watu wahamie Tripple A.
   
 2. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #2
  Dec 10, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Shame! Sijui wageni walionaje ...
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Dec 10, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Aibu sana hii kitu
   
 4. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #4
  Dec 10, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Nilimwonea huruma Jasmine hivi hizi aibu tutazi epuka lini walishindwa hata kuwa ambia watazamaji tatizo lilikuwa ni nini wao walikuwa ni kuhangaika na ma generator yasiyo waka. walipaswa kuhairisha hata show ikawa leo ila kigumu kumbe Fally Ipupa alitakiwa kurudi Dar leo kwani ana show pia.


  Ooooh Yasimineeeeeeee Fally kama siku zote anavyomwita kwa stage wapi yasimineeee aibu tupu khaaaaaaaa na hao wadhanimi wako ati fly 540, Magic FM kumbe wote ni zero tupu jamani utapeli upo katika karne hiii ya utandawazi????

  Huwa nikiangalia CD za Fally Ipupa kama alivyokuwa Ghana Fally na waimbaji wake walitest vyombo vya music kwanza ile mchana na kuweka mambo sawa ili watu wakija washerehekee ila kwa arusha TZ kulikuwa ni aibu sana generator kutengenezwa usiku??


   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Dec 10, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  dah....wananchi walikuwa na hasira sana jana.......kwani muandaaji rasmi alikuwa ni nani...?
   
 6. samito

  samito JF-Expert Member

  #6
  Dec 10, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 621
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  fally ashakuwa tapeli nayeye mwanamziki gan wa kimataifa hana vifaa vyake anavyotembea navyo
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  Dec 10, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Fally hakutumbuiza kabisa?
   
 8. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #8
  Dec 10, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  tumeamka na pesa mingi kwani tulikuja na fungu maalum la kutunza tu stejini!matokeo yake wakafanya twende kuangalia show ya watoto tripple A.....ila Arusha options za sehemu za starehe chache sana!na kuna pimbi mmoja pale matongee ni kiza sana mziki unazingua analeta siasa sijui peopllessssss!mara nampigia Lema aje hapa!bonge la pimbi yule jamaa nna hakika anafanya starehe kwa pesa ya manati!
   
 9. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #9
  Dec 10, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  If they were logistically incapable of arranging such a huge show, why did they take a gamble by accepting the task? I was there on the event and all the happenings were really embarassment to the Club's management. I think they have learnt a lesson for their unprepareness and they have paid the price for unscrupulousness.
   
 10. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #10
  Dec 10, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Atumbuize wapi mkuu watu walimtaka aje hata aimbe bila haya ya vyombo hata kwa cd tuuu wangeridhika tuuuu, Ila Fally kuonekana alionekana live at Mount Meru Hotel hiyo jana mchana

   
 11. libent

  libent JF-Expert Member

  #11
  Dec 10, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 385
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Tatizo hapa sio vyombo tatizo ni umeme mwanamuziki hawezi kutembea na magenerator
   
 12. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #12
  Dec 10, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Kweli kabisa mkuu najiuliza kwanini mji huu tunauita JIJI wakati kweli kimiundombinu hajapangika kabisa sehemu za starehe za wana music wakubwa kama wakina Fally kutumbuiza hakuna kabisa aibu kweli na pale Tripple A palikuwa Full Full hakuna maelezo nilifika nikaona ni michosho nkaenda zangu lala tuu.


  Show kama hizo kwa arusha huwa ni nadra sana kwani tatizo ndio hilo la kumbi nzuri hakuna za kupigia miziki hiyo hapa arusha ni Taarabu tuuu wakiaj ni Tripple A na kingine ni ulimbukeni wa promotors ni fake kweli huwa hawana mpangilo kabisa sasa hebu ona aibu ya jana khaaaa usipaime uzuri ni kuwa chupa hazikurushwa tuu


   
 13. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #13
  Dec 10, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  sawa nakubaliana nawe kwa hilo. ila tu ilikuwa ni kutumia akili kidogo kutest Music system mapema na kujua nini kitajili je kuwaburudisha watu au hapana ila hilo halikufanyika mwanzo,

  kingine ni pale kuna watu wana maduka makubwa wana chukuwa umeme mkubwa wangeweza ha kuwapata Tanesco Takrima ili wawavutie umeme then wangetoa kesho kuliko ku run generator it was very simple ila uchungu wa kukomoana kibiashara ulitanda kwa jana maana kulikuwa na show nyingi mjini hapa kwahiyo hilo lingetokea tuuu inajulikana kwa wabongo eg. majuzi hapo dar clouds fm wameandaaa show yao huku nako wakina sugu wanazindua AntiVirus khaaa haya sasa ndio mambo lazima tu chuki za kibiashara zije na ndilo lililo tanda hapo matongee jana usiku kila mtu na viti leo wanaongezea meza tuu majumbani mwao.

  Fally Ipupa doesnt have anything to do with that shameless hosting his job was to perform period.

   
 14. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #14
  Dec 10, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Na sie wabongo tumezidi ubabaishaji ,sijui lini tutajifunza ,
   
 15. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #15
  Dec 10, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Preta,
  Kwa hilo me niliona kwa ticket yangu kuna Fly 540,Magic FM, na wadhamini wengine wawili sikuwakalili ndio najua walihusika na wote hao sidhani kama wasingeshindwa hakikisha umeme kupatikana bali ilikuwa ni poor planning zerooooooo kabisa.

  Kumbuka pia Jasmine nae alikuwepo akihangaika mpaka dakika za mwisho kurudi akakuta watu walisha chapa mwendo na Chairs teh teh ni aibu sana mimi najutia pesa yangu na watu nilo wa convice wajumuike nami tulikuwa 6 na hatukucukuwa chochote ila iliumaaaaa eeeeh kwani nani atakurudishia pesa sasa ticket zilikuwa ni one way ukinunua hazi recognized no# for reference
  hata ukitaka ku claim ujue wapi pa kwenda
   
 16. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #16
  Dec 10, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  fally msanii mkubwa hawezi kutumbuiza kwa playback halafu fans wake waanze kumtimba!ni afadhali alivyochomoa ili lawama ziwaendee waandaaji fake!!!!!ukitaka kujua suala la starehe Dar es salaam watu wamejipanga hawaungi ungi sikilizia show lake la Dar!sipati picha wakali wa kumwaga mpunga stejini wanavyosubiria mida ifike!za jana naongezea zingine tukapambane kama ni ulimbukeni itajulikana leo stejini!!!!waandaaji wa matongee ni mapimbi ukumbi gani ule halafu ulivyopambwa utasema kuna wedding ceremony!manina zao ni kupotezeana muda wajifunze kwa wakali wa kuandaa wasikurupuke!............
   
 17. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #17
  Dec 10, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hivi huyo mzee wa kigeugeu alikuja au jana ilikuwa ni wimbi la utapeli arusha.
   
 18. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #18
  Dec 10, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Bila shaka hajaja! Huo ni wizi mtupu Mkubwa wangu!
   
 19. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #19
  Dec 10, 2011
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Kumbe vinega wapo kila kona..ilikuwa ni move pouwa kwa wananchi ...
   
 20. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #20
  Dec 10, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Kama serikali ni responsible nategemea kupata tamko la serikali juu ya aibu hii, na si aibu tu bali usalama wa raia na mali zao kwenye matukio kama haya: kauli za RC, RPC, Waziri wa utamaduni ni muhimu wakati huu.
   
Loading...