Harusi ya Nape week ijayo Dar es salaam

Jethro

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
2,219
370
Wana JF,

Kwa taaarifa sahiii kutoka kwenye chanzo chetu kutoka huko Arusha kuwa Nape Nnauye Katibu Muenezi CCM kupata jiko lake week ijayo,

Habari zinasema kuwa leo katika Mji wa Arusha katika viwanja vya General Tyre kunafanyika Send off(Party) na Bibi harusi mtarajiwa kwa jina ni Mary Massenge Sherehe hii iatanyika kuanzia jioni saaa Moja leo.

Na baaada ya Send off Week Ijayo Ndio Harusi itafanyika Dar.

Wadau hizo ndizo habari zilizo tufikia to Arusha.

Siku Njema na SEND OFF NJEMA kwa wakazi wa Arusha
 
Anafanya jambo la maana kupata kiburudisho, hongera sana Nape kwani ni jambo jema !
 
Kumbe alikuwa bado hajaoa? Ndiyo maana alikuwa anamwanga pumba kwa kwenda mbele!!!
 
Hongera sana Nape angalau unaweza kusaidiwa kutulia na kuwa na mawazo yanayoendana na majukumu uliyopewa kwenye magamba
 
Back
Top Bottom