Search results

  1. E

    Msaada kuhusu volunteers

    Wadau naombeni kujua ni vigezo vipi au sheria zipi zinatumika kuhusu kuwahifadhi wageni katika nyumba yako. Nina nyumba yangu nahitaji Ku host volunteers naombeni kujua ni taratibu zipi zinahitajika na document zipi zinatakiwa kwa kupata usajili . asanteni
  2. E

    Tetesi: Uhamiaji ARUSHA mchunguzeni huyu mzungu anaitwa ERNESTO BRUNI

    Kuna mzungu mmoja ni raia wa Italy Sina uhakika kama kweli katokea Italy . Huyu mzungu anaishi maeneo ya sanawari ya juu amefungua shule feki inaitwa New bridge pre-school . (Zamani iliitwa SAMENA SCHOOL Tatizo ni kwamba huyu mzungu amefungua shule kwa jina la girl friend wake anayeitwa Victoria...
  3. E

    Utitiri wa shule za chekechea na Tuition wilayani Arumeru

    Wakuu narudia tena kuirudisha hii mada mpaka tupate majibu kutoka wizara husika. Kumekuwa na utitiri wa shule nyingi za chekechea na zingine zikiitwa Tuition zinazochukua watoto chini ya miaka mitano ambao hawajaanza shule. Katika safari zangu nilizotembea katika mji wa Arusha nimeona mjini...
  4. E

    Kulikoni utitiri wa shule za Chekechea Arusha mjini zisizokidhi vigezo? Mamlaka zitazame hili haraka sana

    Wakuu naombeni msaada kuhusu hii wizara ya elimu. Kuna mambo naona hayaendi sawasawa kuhusu hizi shule za chekechea/nursery. Mimi sio mwenyeji sana nimehamia Arusha majuzi tu nikabahatika kupita maeneo ya Sanawari kuanzia Sanawari ya chini mpaka ya juu nimekuta shule za chekechea ni nyingi...
  5. E

    watangazaji wengine bwana!

    Wadau mimi jana nimekwazika sana na maneno ya mtangazaji aliyekuwa anatuwakilisha pale kwenye mazishi ya baba yetu kipenzi Dr. Mengi. huyu mtangazaji aliiambia umati kwamba hapo mzee mengi alipozikwa ndipo watakapozikwa familia yake yote. Tena akaenda mbali zaidi kwa kuwataja kwa majina kwamba...
  6. E

    Nakodisha vyumba vya biashara

    Kwa wale wenye kupenda kufanya biashara ndogo ndogo nina vyumba vya kupanga vipo sanawari barabarani kabisa na kuna umeme. kodi yake ni shilingi elfu 40 kwa mwezi ukija tutaongea. wahi mapema upate unafuu. kwa mawasiliano zaidi piga namba hizi 0653 954094
  7. E

    Nakodisha vyumba vya biashara Arusha- sanawari

    Kwa wale wenye kupenda kufanya biashara ndogo ndogo nina vyumba vya kupanga vipo sanawari barabarani kabisa na kuna umeme. kodi yake ni shilingi elfu 40 kwa mwezi ukija tutaongea. wahi mapema upate unafuu. kwa mawasiliano zaidi piga namba hizi 0653 954094
  8. E

    Site ya biashara arusha

    Site ya biashara Arusha inakodishwa. inafaa kwa biashara yoyote. in umeme na maji Kufika ni vizuri zaidi kuliko picha. Kodi ni maelewano. kwa mawasiliano zaidi wasiliana na namba 0653 954094
  9. E

    Site ya biashara Arusha

    Site ya biashara Arusha inakodishwa. inafaa kwa biashara yoyote. in umeme na maji Kufika ni vizuri zaidi kuliko picha. Kodi ni maelewano. kwa mawasiliano zaidi wasiliana na namba 0653 954094
  10. E

  11. E

    Nyumba inakodishwa arusha

    Nyumba inapangishwa Arusha sanawari . ina vyumba viwili vya kulala na sebule na choo, jiko, bafu, store. ipo ndani ya fence ina umeme na maji karibu na barabara ya daladala. bei yake ni laki mbili kwa mwezi. kwa mawasiliano piga 0653 954094
  12. E

  13. E

    Nyumba inakodishwa Arusha

    Nyumba inapangishwa Arusha sanawari . ina vyumba viwili vya kulala na sebule na choo, jiko, bafu, store. ipo ndani ya fence ina umeme na maji karibu na barabara ya daladala. bei yake ni laki mbili kwa mwezi. kwa mawasiliano piga 0653 954094
  14. E

    Site inakodishwa Arusha

    Ni site nzuri inayofaa kwa biashara ya day care au dispensary au security guard, au hotel ina umeme na maji ndani ya fence karibu na barabara bei yake ni milioni moja kwa mwezi. ukiweza kufika utafanikiwa zaidi kuliko kurushiwa picha asante. Kwa mawasiliano piga simu 0653 954094
  15. E

    Site ya biashara inakodishwa Arusha

    Ni site nzuri inayofaa kwa biashara ya day care au dispensary au security guard, au hotel ina umeme na maji ndani ya fence karibu na barabara bei yake ni milioni moja kwa mwezi. ukiweza kufika utafanikiwa zaidi kuliko kurushiwa picha asante. Kwa mawasiliano piga simu 0653 954094
  16. E

    Nyumba inapangishwa Arusha

    Nyumba inapangishwa Arusha sanawari . ina vyumba viwili vya kulala na sebule na choo, jiko, bafu, store. ipo ndani ya fence ina umeme na maji karibu na barabara ya daladala. bei yake ni laki mbili na nusu kwa mwezi. kwa mawasiliano piga 0653 954094
  17. E

    Nyumba ya kupanga Arusha

    Nyumba inapangishwa Arusha sanawari . ina vyumba viwili vya kulala na sebule na choo, jiko, bafu, store. ipo ndani ya fence ina umeme na maji karibu na barabara ya daladala. bei yake ni laki mbili na nusu kwa mwezi. kwa mawasiliano 0754745677
  18. E

    Day care site for Rent Arusha

    Day care site for Rent Arusha For those who need a site/ house to rent special for day care in Arusha call 0653 954 094
  19. E

    nakodisha nyumba for daycare Arusha sanawari

    nakodisha nyumba kwa matumizi ya day care arusha sanawari. kodi ni maelewano.kwa maelezo zaidi wasiliana na 0653 954 094
Back
Top Bottom