chekechea

  1. Ashura9

    Angalia hapa kama unamtoto chekechea

    Chekechea ni shule ya vidudu ya watoto wadogo sana wengine kuanzia mwaka mmoja ambao wanahitaji huduma na mapenzi ya karibu sawa na mama zao. Lakini utakuta shule zingine za aina hii wanaajiri watoto wadogo kucheza nao na matokeo yake hawa watoto wanawatesa na kuwapiga sana hawa viumbe malaika...