Tuwasiliane nyumba ya kupanga inapatikana Arusha. vyumba viwili vya kulala sio master, ina jiko, choo, bafu,store na sebule. kodi ni laki mbili kwa mwezi. pia ina uzio, kuna umeme na maji. kwa atakayeweza kufika eneo husika kuna punguzo la bei. Piga 0653 954094